Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Shukuru Dodoma imekufanya ufute ujinga lasivyo hivi sasa ungekuwa huko mwanhunzi unachunga ng'ombe maana Mwanza na elimu havijawahi patana, btw kama ulisoma mipango kwanini unapoishi panakaa zizi la mbuzi?
Sasa mwanhuzi Meatu Simiyu imefata nn hapa [emoji1]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]wenyewe wanakwambia Dodoma ni Jangwa ...ila maajabu huko jangwani ndio wanaongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama, plus soko la mahindi la kimataifa Kibaigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama lile ndo soko la kimataifa basi safari ni ndefu [emoji846]
 
Kinachoendelea jijini .Mwanza
Kuwa mvumilivu na ikibidi uwe maji pembeni kabisa ili kiu kikikushika usipate tabu Kwa sababu hamna atakayekuelewa utakapoomba uletewe maji Kwa kutamka mma [emoji91][emoji91][emoji91]..KAZI IENDELEE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan kuwa na soko la kimataifa ndio kuwa wakulima ....dar Kuna soko la kimataifa la kariakoo,,je wanalima ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unaweza kujenga soko la kimataifa la mahindi plus maghala ya National Food Reserve Agency kwenye mkoa ambao hauzalishi kwa wingi hayo mahindi😀😀😀😀😀

Tembelea sikumoja maeneo ya Kibaigwa,Mlali,Mkoka pamoja na maeneo yanayopakana na wilaya ya Gairo na Kiteto uone kiwango cha uzalishaji wa mahindi+nafaka 🤣🤣🤣
 
Kumbe unaweza kujenga soko la kimataifa la mahindi plus maghala ya National Food Reserve Agency kwenye mkoa ambao hauzalishi kwa wingi hayo mahindi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Tembelea sikumoja maeneo ya Kibaigwa,Mlali,Mkoka pamoja na maeneo yanayopakana na wilaya ya Gairo na Kiteto uone kiwango cha uzalishaji wa mahindi+nafaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hyo kiteto na gairo ni mkoa wa dodoma aisee nilikuwa sijui ..
Lakini mbona NBS haiwapi credit za juu[emoji116]
PSX_20221118_220949.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo kiteto na gairo ni mkoa wa dodoma aisee nilikuwa sijui ..
Lakini mbona NBS haiwapi credit za juu[emoji116]View attachment 2560654

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀huyu ndio anajiita msomi graduate wa IRDP....wapi nimesema Kiteto na Gairo ni mkoa wa Dodoma au hujui kusoma "maeneo yanayopakana na wilaya ....." unawaaibisha graduate wenzako wa IRDP ndiomana nilikushauri ukabishane facebook humu hupawezi ni hoja na facts tu😂😂😂
 
[emoji3][emoji3][emoji3]huyu ndio anajiita msomi graduate wa IRDP....wapi nimesema Kiteto na Gairo ni mkoa wa Dodoma au hujui kusoma "maeneo yanayopakana na wilaya ....." unawaaibisha graduate wenzako wa IRDP ndiomana nilikushauri ukabishane facebook humu hupawezi ni hoja na facts tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi nimejiita msomi ....wew unaporefer production area ya mkoa mwingine ije itetee mkoa wako ..umejitathimini brain capacity yako kweli....
We tukienda Kwa hoja na facts hufiki safari ya Nyerere square to sabasaba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀huyu ndio anajiita msomi graduate wa IRDP....wapi nimesema Kiteto na Gairo ni mkoa wa Dodoma au hujui kusoma "maeneo yanayopakana na wilaya ....." unawaaibisha graduate wenzako wa IRDP ndiomana nilikushauri ukabishane facebook humu hupawezi ni hoja na facts tu😂😂😂
Na kwanini uzungumzie mipakni bhana
 
Wapi nimejiita msomi ....wew unaporefer production area ya mkoa mwingine ije itetee mkoa wako ..umejitathimini brain capacity yako kweli....
We tukienda Kwa hoja na facts hufiki safari ya Nyerere square to sabasaba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu amnazo kaka
 
Hospitali ya milembe haikujengwa Bure dodoma, kulikuwa na sababu na hapa tunajionea sababu zenyewe😂😂😂.
Inaitwa Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Akili Mirembe...hadhi(status) yake ni Hospitali ya Taifa kama ilivyo Muhimbili😀😀😀😀
 
Inaitwa Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Akili Mirembe...hadhi(status) yake ni Hospitali ya Taifa kama ilivyo Muhimbili😀😀😀😀
Ilijengwa hapo kulingana na uhitaji wa mkoa huo 😂😂😂
 
Ilijengwa hapo kulingana na uhitaji wa mkoa huo 😂😂😂

Mirembe National Mental Health Hospital (MNMH)
Status-Hospitali ya Taifa
sio hospitali ya mkoa,sio hospitali ya rufaa,sio hospitali ya kanda bali ni Hospitali ya Taifa ...elewa hiyo status ndiyo the highest of all😀😀😀😀😀
 
I know everything about it. Kwanini iwe dodoma???. Just imaging kibong'oto ni hospitali ya Taifa ya magonjwa yanayoambukizwa kwanini ilijengwa SIHA?. sababu ni kwamba watu wengi sana mererani walikuwa wanagundulika kuwa na kifua kikuu na wengine walikufa sana kwasababu ya SILICOSIS, hivyo ililazimika kujengwa eneo Hilo karibu na wateja😂😂😂😂.
 
Back
Top Bottom