Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Cha asubuhi
Mwanza ingekuwa na blocks kama hizi ingelinga sana ila ndio hivyo ni shaghalabaghala City 🤣🤣

Jiji linatakiwa kuwa like hivi Dom inavyoonekana hapa 👇
 
Mwanza imekuwa major city hapa Tanzania kwa muda mrefu , so kuilinganisha na Dodoma ambayo imepewa hadhi ya city politically sio sawa, Mwanza shughuli zake kiuchumi zinaibeba , ndio mji mkuu kibiashara kwa ukanda huu wa maziwa makuu , so Dodoma bado sana , Huwezi kutoka Mwanza ukaenda kutafuta maisha Dodoma labda uwe umeajiriwa na serikali tofauti na hapo ni rahisi kutoka Dom kwenda kuhustle Mwanza
 
Mojor City Kwa lipi? Endelea kukariri ujinga Mzee sawa..

Unaweza niletea Industrial area yeyoye kama hii ya hapa Dom?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…