Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mgonjwa aliyezindua Hospital ametokea Kanda ya Ziwa na aliitwa Mirembe kama yule Mirembe wa mgodini usijitoe ufahamu 🀣🀣🀣🀣
Kuwa na akili hata mara moja moja na usipende kukurupuka katika mambo yao, huyo mirembe alikuwa ni msukuma na alisafiri mpaka dodoma miaka hiyo ya 1920 kusaka mganga maarufu wa kienyeji wa hapo Dodoma, basi alivyofika hapo dodoma wahuni wa miaka hiyo wakamuonesha hapo mirembe ndio yupo mtaalamu kumbe sio, basi toka siku hiyo jina la hospital likabadirishwa na kuitwa Mirembe.
 
Akina Mirembe mko wengi sana ndio maana kumbe hamna akili
 
Mgonjwa aliyezindua Hospital ametokea Kanda ya Ziwa na aliitwa Mirembe kama yule Mirembe wa mgodini usijitoe ufahamu 🀣🀣🀣🀣
Tatizo lako nazani ni la ukooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Akina Mirembe mko wengi sana ndio maana kumbe hamna akili
Huyo mirembe alikuwa ni tajiri wa mifugo na alikuwa amechoka kuibiwa n'gombe na wamasai so akasikia kuna mgogo mganga wa kuzindika mifugo kumbe wauni wa dodoma miaka hiyo wakampeleka chaka mtani wao.
 
Haya mapendekezo yataanza kufanyiwa kazi lini? Mimi sio mtu wa maneno na makaratasi napenda kuona vitendo yaani wakandarasi wakiwa site wakichapa kazi.
Mapendekezo au ni Bajeti ya Wizara ya Elimu mwaka wa Fedha 2023/24?
 
Swali langu hujaelewa na hilo ndio tatizo lako, nimeuliza ni lini hiyo bajeti itaanza kutekelezwa, mimi sio mtu wa siasa.
Kama huelewi maana ya jambo kuwepo kwenye Bajeti basi Hilo tatizo kawalaumu waliokufundisha ..

Tunaendelea na Dom,bwawa la Farkwa
 
Jana kwenye mkutano na wafanyabiashara Kariakoo , Waziri Mkuu kamaliza hili , kataja majiji yote , hakuitaja Dodoma [emoji23][emoji23][emoji23]. Dodoma ni kimji tu , labda washindane na Kahama huko
 
Jana kwenye mkutano na wafanyabiashara Kariakoo , Waziri Mkuu kamaliza hili , kataja majiji yote , hakuitaja Dodoma [emoji23][emoji23][emoji23]. Dodoma ni kimji tu , labda washindane na Kahama huko
L[emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…