Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hakuna mahala Mwanza itatajwa Dom haipo ila Kuna sehemu Dom itakuwepo Mwanza hamna
 
Kiwanja Cha mda [emoji16][emoji16],jengo la kudumu mtaishia kuonesha render tuu [emoji1787][emoji1787] pesa hakuna
Hilo jengo la muda ni Kali kuzidi permanent house ya songwe [emoji1787][emoji23][emoji23]
Mwisho AFDB wakishakubali hainaga kulemba . mkandarasi anaingia site sio vijengo vyenu vya kutegemea tozo za mabando na kukimbizana na wafanya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liko wapi jengo la Mwanza 🀣🀣

Songwe saizi ni iconic
 
Mtu wa mbeya na njombe naona unafurahi keki ya Tanzania ikiishia Dodoma na Dar, bajeti ijayo wawe wanaalikana wabunge wa dodoma na dar wakijadili bajeti yao.
Nina Mpango wa kuwekeza na kuishi Dom baada ya 2030..

Mbeya na Njombe huwezi ikwepa
 
Eti Mji wa Wavuvi wa dagaa Mwanza unataka ushindane na Makao Makuu ya Nchi πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Hapo hakuna mpangaji na mnunuzi hata mmoja, ifikie hatua serikali isifanye mambo kimihemko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…