ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wapi Mwanza Airport? 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujifariji basi[emoji116]Wapi Mwanza Airport? [emoji16][emoji16]View attachment 2631519
Kiwanja Cha mda 😁😁,jengo la kudumu mtaishia kuonesha render tuu 🤣🤣 pesa hakuna
Hilo jengo la muda ni Kali kuzidi permanent house ya songwe [emoji1787][emoji23][emoji23]Kiwanja Cha mda [emoji16][emoji16],jengo la kudumu mtaishia kuonesha render tuu [emoji1787][emoji1787] pesa hakuna
Liko wapi jengo la Mwanza 🤣🤣Hilo jengo la muda ni Kali kuzidi permanent house ya songwe [emoji1787][emoji23][emoji23]
Mwisho AFDB wakishakubali hainaga kulemba . mkandarasi anaingia site sio vijengo vyenu vya kutegemea tozo za mabando na kukimbizana na wafanya biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuja iwatokee puani ...nisione mwanasiasa ananiletea nyoko nyoko mm 2025 ....nitampiga hata jiweDom na Dar ndio Tanzania Kwa Sasa View attachment 2631731View attachment 2631737
Usitake kushindana na Mji Mkuu..Itakuja iwatokee puani ...nisione mwanasiasa ananiletea nyoko nyoko mm 2025 ....nitampiga hata jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Jimbo langu halijapata hata meter 1 ya lami na ndio face ya jiji .......hata km 5 za uwongo na kweli hamna ...hizo Tactics ndio tunasubiri km 15
Dom inaendelea kuwasha moto huku 👇Jimbo langu halijapata hata meter 1 ya lami na ndio face ya jiji .......hata km 5 za uwongo na kweli hamna ...hizo Tactics ndio tunasubiri km 15
Anatoka mbunge na raisi tunamtoa ...tuone dodoma kama itampa kura
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina Mpango wa kuwekeza na kuishi Dom baada ya 2030..Mtu wa mbeya na njombe naona unafurahi keki ya Tanzania ikiishia Dodoma na Dar, bajeti ijayo wawe wanaalikana wabunge wa dodoma na dar wakijadili bajeti yao.
Napenda kuuliza, kwanini umechagua kuishi dodoma na sio mbeya?Nina Mpango wa kuwekeza na kuishi Dom baada ya 2030..
Mbeya na Njombe huwezi ikwepa View attachment 2632242
Mbeya Kuna baridi sipendiNapenda kuuliza, kwanini umechagua kuishi dodoma na sio mbeya?
Vipi kuhusu fursa za kiuchumi na miundombinu ilo nalo hujaliona?Mbeya Kuna baridi sipendi