Hivi jangwa la Kalahari si hakuna kilimoπππ Kama Dodoma ni Jangwani inakuaje tenaKuna nini kipya hapo .....si Bora chuga Ina sound modern kuliko Hilo jangwa la Kalahari [emoji1787][emoji16]
Acha kuota amka ukakojoe ...... kwamba mwanza hamna hzo plan ....Linapokuja suala la Mipango Miji na Barabara,Mwanza fishing Village wakae mbali kabisa na Dom..
Angalia Kwa mfano hapa
1.Outer Ring Road under construction
2.Middle Ring Road under design
3.Inner Ring Road under procurement,mda wowote ujenzi utaanza.
4.Km 270 Dual Carriage Kwa Barabara kuu zote ziko under design View attachment 2674970
Kwa miradi hiyo michache tuu,Mwanza Ina kipi Cha kujitutumua mbele ya Dom?
Mwanza ndio kuna plan ila Dom HQ ni implementation in progress..Acha kuota amka ukakojoe ...... kwamba mwanza hamna hzo plan ....
Kasome five year development plan phase 3 ndo uje ubweke hapa
Poor argument,,,dar Kuna soko la kariakoo ,wanalima huko ??... aliyekuambia jangwani hawalimi nani ,,,,misri na Israel ni jangwa mbona Kuna mazao ....Hivi jangwa la Kalahari si hakuna kilimo[emoji38][emoji38][emoji38] Kama Dodoma ni Jangwani inakuaje tena
1.ndio wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Mtama,Tende,Uwele,Alizeti,Rosella
2.Soko kuu la kimataifa la mahindi na nafaka lipo Kibaigwa
3.Makao makuu ya Tanzania Agricultural Research Institute -yapo Makutupora
[emoji38][emoji38][emoji38]akinijibu naomba unitag plz
Hzi future slum ndio mpango mji [emoji16][emoji106][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116]endelea kujifariji tu [emoji3][emoji3]eti barabara zinazopita maporini[emoji38][emoji38],kama ni maporini nenda kajaribu kuanza ujenzi uone cha mtema kuni.Kwa taarifa yako Dodoma ndio Jiji pekee East and Central Africa lililopimwa na kupangiliwa mipango miji kwa zaidi ya asilimia 90. Dodoma ndio Jiji pekee ambalo ukikosea kufanya ujenzi basi ndani ya sikumbili tu wanakuja watu wa Jiji (zamani CDA) kusimamisha ujenzi
[emoji15][emoji15][emoji15].... wambie wamechelewa speed ya mwanza inazidiwa na dar tu ..hayo mazizi mengine yajipangeMwanza ndio kuna plan ila Dom HQ ni implementation in progress..
Plan pekee ya Dom labda ni express way ya Kulipia ndio itachelewa..
Kijiji Cha Mwanza kitasubiri sana Kwa Dom.
Wivu tuu huyo achana nae
Unajitahidi kubadilisha badilisha mada.. hujajibu swali lolote apoπππPoor argument,,,dar Kuna soko la kariakoo ,wanalima huko ??... aliyekuambia jangwani hawalimi nani ,,,,misri na Israel ni jangwa mbona Kuna mazao ....
Dodoma ni semi arid na yenye Hali ya hewa mbaya ....[emoji116]
Imagine nzuguni hapa [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mavumbi na ukame Kila mahalaView attachment 2675209
under construction ππ[emoji15][emoji15][emoji15].... wambie wamechelewa speed ya mwanza inazidiwa na dar tu ..hayo mazizi mengine yajipange
Five star hotel under construction [emoji16][emoji16][emoji116]
Dodoma kile kilodge chenu Kiko wap View attachment 2675212
Misri na Israel ni mabingwa wa kilimo cha umwagiliaji duniani wanatumia Irrigation farming ...Dodoma hawafanyi kilimo cha umwagiliajiPoor argument,,,dar Kuna soko la kariakoo ,wanalima huko ??... aliyekuambia jangwani hawalimi nani ,,,,misri na Israel ni jangwa mbona Kuna mazao ....
Dodoma ni semi arid na yenye Hali ya hewa mbaya ....[emoji116]
Imagine nzuguni hapa [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mavumbi na ukame Kila mahalaView attachment 2675209
Kumbe jibu unalo kuwa kibaigwa inatoa mahindi kiteto ....Misri na Israel ni mabingwa wa kilimo cha umwagiliaji duniani wanatumia Irrigation farming ...Dodoma hawafanyi kilimo cha umwagiliaji
Swali linabaki palepale umesema Dodoma ni jangwa kama la Kalahari Je inakuaje wanaongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Tende,Rosella .Nenda kule wanapaita Zuzu kwa Pinda uone wakulima wanavyosafirisha kwa wingi maembe,mastaferi,matopetope hadi nje ya nchi .
Hoja ya pili unasema Dar Es Salaam hawalimi lakini kuna soko la Kariakoo Je idadi ya watu wa Jiji la Dar Es Salaam ni sawa na idadi ya watu wa mji mdogo wa Kibaigwa[emoji38][emoji38].Soko kuu la kimataifa la mahindi na nafaka limewekwa strategically Kibaigwa kwa sababu maeneo ya Kibaigwa na yanayopakana kama Mlali,Mkoka,Kongwa,Gairo,Kiteto wanazalisha mahindi kwa wingi
Kweli umeishiwa Hiv lodge ya st gasper hapo mwangaza nayo ni ya kuleta humu ..hizo guest bubu za wabunge kufanyia umalaya nazo unaziita hotel [emoji1787][emoji1787][emoji16]under construction [emoji38][emoji38]
Dodoma
-St Gaspar Hotel& Conference Center
-Nashera Hotel
-Morena Hotel
-Best Western City Hotel
-Dodoma Hotel
-Royal Village
-African Dreams
-Rafiki Dodoma Hotel
St Gaspar Hotel....the only hotel in Dodoma with Presidential Suiteπππ alafu unaiita lodge acha kujitoa ufahamu aisee ....najua huelewi maana ya presidential suite ngoja nikusaidieKweli umeishiwa Hiv lodge ya st gasper hapo mwangaza nayo ni ya kuleta humu ..hizo guest bubu za wabunge kufanyia umalaya nazo unaziita hotel [emoji1787][emoji1787][emoji16]
Leta picha ,,,, other wise huo ukumbi wa kuonyesha mpiraSt Gaspar Hotel....the only hotel in Dodoma with Presidential Suite[emoji3][emoji3][emoji3] alafu unaiita lodge acha kujitoa ufahamu aisee ....najua huelewi maana ya presidential suite ngoja nikusaidie
a suite of rooms, as in a hotel, suitable for a president or other head of state
Hojayako ulisema Dodoma ni sawa na jangwa la Kalahari sasa mbona unaruka ruka tu kubadilisha mada kama kawaida yako ....Kibaigwa ipo wilaya ipi kama sio Kongwaπππ.Kumbe jibu unalo kuwa kibaigwa inatoa mahindi kiteto ....
[emoji15][emoji15]
Dodoma ni jangwa na wew unajua Hilo kidogo wilaya ya kongwa na kibakwe ...huku kwingine ni machozi
Ukishindwa hoja unakimbiliaga picha nakumbuka kuna siku ulisema unataka picha za barabara za lami zote za Dodoma CBD...πππLeta picha ,,,, other wise huo ukumbi wa kuonyesha mpira
Ko hii lodge ndo unayoringia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116]Ukishindwa hoja unakimbiliaga picha nakumbuka kuna siku ulisema unataka picha za barabara za lami zote za Dodoma CBD...[emoji3][emoji3][emoji3]
St. Gaspar Hotel, Dodoma
St. Gaspar Hotel and Conference Centre, a conference center, hotel and meeting venue, ideal setting for your next conference, meeting, wedding or weekend getaway in Dodoma.www.stgasparhotel.co.tz
Kibaigwa on the move[emoji116][emoji16][emoji16]Hojayako ulisema Dodoma ni sawa na jangwa la Kalahari sasa mbona unaruka ruka tu kubadilisha mada kama kawaida yako ....Kibaigwa ipo wilaya ipi kama sio Kongwa[emoji3][emoji3][emoji3].
niliwahi kukwambia kabishane facebook humu hupawezi manake unachapwa facts kwa facts, hoja kwa hojaππKo hii lodge ndo unayoringia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116]View attachment 2675721