Hivi jangwa la Kalahari si hakuna kilimo😆😆😆 Kama Dodoma ni Jangwani inakuaje tenaKuna nini kipya hapo .....si Bora chuga Ina sound modern kuliko Hilo jangwa la Kalahari [emoji1787][emoji16]
1.ndio wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Mtama,Tende,Uwele,Alizeti,Rosella
2.Soko kuu la kimataifa la mahindi na nafaka lipo Kibaigwa
3.Makao makuu ya Tanzania Agricultural Research Institute -yapo Makutupora
😆😆😆akinijibu naomba unitag plz