Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kuna nini kipya hapo .....si Bora chuga Ina sound modern kuliko Hilo jangwa la Kalahari [emoji1787][emoji16]
Hivi jangwa la Kalahari si hakuna kilimo😆😆😆 Kama Dodoma ni Jangwani inakuaje tena
1.ndio wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Mtama,Tende,Uwele,Alizeti,Rosella
2.Soko kuu la kimataifa la mahindi na nafaka lipo Kibaigwa
3.Makao makuu ya Tanzania Agricultural Research Institute -yapo Makutupora

😆😆😆akinijibu naomba unitag plz
 
Linapokuja suala la Mipango Miji na Barabara,Mwanza fishing Village wakae mbali kabisa na Dom..

Angalia Kwa mfano hapa

1.Outer Ring Road under construction
2.Middle Ring Road under design
3.Inner Ring Road under procurement,mda wowote ujenzi utaanza.
4.Km 270 Dual Carriage Kwa Barabara kuu zote ziko under design View attachment 2674970

Kwa miradi hiyo michache tuu,Mwanza Ina kipi Cha kujitutumua mbele ya Dom?
Acha kuota amka ukakojoe ...... kwamba mwanza hamna hzo plan ....
Kasome five year development plan phase 3 ndo uje ubweke hapa
 
Acha kuota amka ukakojoe ...... kwamba mwanza hamna hzo plan ....
Kasome five year development plan phase 3 ndo uje ubweke hapa
Mwanza ndio kuna plan ila Dom HQ ni implementation in progress..

Plan pekee ya Dom labda ni express way ya Kulipia ndio itachelewa..

Kijiji Cha Mwanza kitasubiri sana Kwa Dom.
 
Hivi jangwa la Kalahari si hakuna kilimo[emoji38][emoji38][emoji38] Kama Dodoma ni Jangwani inakuaje tena
1.ndio wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Mtama,Tende,Uwele,Alizeti,Rosella
2.Soko kuu la kimataifa la mahindi na nafaka lipo Kibaigwa
3.Makao makuu ya Tanzania Agricultural Research Institute -yapo Makutupora

[emoji38][emoji38][emoji38]akinijibu naomba unitag plz
Poor argument,,,dar Kuna soko la kariakoo ,wanalima huko ??... aliyekuambia jangwani hawalimi nani ,,,,misri na Israel ni jangwa mbona Kuna mazao ....
Dodoma ni semi arid na yenye Hali ya hewa mbaya ....[emoji116]
Imagine nzuguni hapa [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mavumbi na ukame Kila mahala
20230630_103347.jpg
 
endelea kujifariji tu [emoji3][emoji3]eti barabara zinazopita maporini[emoji38][emoji38],kama ni maporini nenda kajaribu kuanza ujenzi uone cha mtema kuni.Kwa taarifa yako Dodoma ndio Jiji pekee East and Central Africa lililopimwa na kupangiliwa mipango miji kwa zaidi ya asilimia 90. Dodoma ndio Jiji pekee ambalo ukikosea kufanya ujenzi basi ndani ya sikumbili tu wanakuja watu wa Jiji (zamani CDA) kusimamisha ujenzi
Hzi future slum ndio mpango mji [emoji16][emoji106][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116]
20230630_103347.jpg
20230630_102748.jpg
 
Mwanza ndio kuna plan ila Dom HQ ni implementation in progress..

Plan pekee ya Dom labda ni express way ya Kulipia ndio itachelewa..

Kijiji Cha Mwanza kitasubiri sana Kwa Dom.
[emoji15][emoji15][emoji15].... wambie wamechelewa speed ya mwanza inazidiwa na dar tu ..hayo mazizi mengine yajipange
Five star hotel under construction [emoji16][emoji16][emoji116]
Dodoma kile kilodge chenu Kiko wap
1686753422384.jpg
 
Poor argument,,,dar Kuna soko la kariakoo ,wanalima huko ??... aliyekuambia jangwani hawalimi nani ,,,,misri na Israel ni jangwa mbona Kuna mazao ....
Dodoma ni semi arid na yenye Hali ya hewa mbaya ....[emoji116]
Imagine nzuguni hapa [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mavumbi na ukame Kila mahalaView attachment 2675209
Unajitahidi kubadilisha badilisha mada.. hujajibu swali lolote apo😀😀😀
Nakuongezea na hii another fact Ukitoa mji wa Songea Dodoma ndio Jiji pekee lenye maghala makubwa na ya kisasa ya kuhifadhi nafaka(vihenge) yanayomilikiwa na NFRA(National Food Reserve Agency) pamoja na yale mengine yanayomilikiwa na WFP+ FAO kule Kizota Industrial Area
 
[emoji15][emoji15][emoji15].... wambie wamechelewa speed ya mwanza inazidiwa na dar tu ..hayo mazizi mengine yajipange
Five star hotel under construction [emoji16][emoji16][emoji116]
Dodoma kile kilodge chenu Kiko wap View attachment 2675212
under construction 😆😆
Dodoma
-St Gaspar Hotel& Conference Center
-Nashera Hotel
-Morena Hotel
-Best Western City Hotel
-Dodoma Hotel
-Royal Village
-African Dreams
-Rafiki Dodoma Hotel
 
Poor argument,,,dar Kuna soko la kariakoo ,wanalima huko ??... aliyekuambia jangwani hawalimi nani ,,,,misri na Israel ni jangwa mbona Kuna mazao ....
Dodoma ni semi arid na yenye Hali ya hewa mbaya ....[emoji116]
Imagine nzuguni hapa [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mavumbi na ukame Kila mahalaView attachment 2675209
Misri na Israel ni mabingwa wa kilimo cha umwagiliaji duniani wanatumia Irrigation farming ...Dodoma hawafanyi kilimo cha umwagiliaji
Swali linabaki palepale umesema Dodoma ni jangwa kama la Kalahari Je inakuaje wanaongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Tende,Rosella .Nenda kule wanapaita Zuzu kwa Pinda uone wakulima wanavyosafirisha kwa wingi maembe,mastaferi,matopetope hadi nje ya nchi .

Hoja ya pili unasema Dar Es Salaam hawalimi lakini kuna soko la Kariakoo Je idadi ya watu wa Jiji la Dar Es Salaam ni sawa na idadi ya watu wa mji mdogo wa Kibaigwa😆😆.Soko kuu la kimataifa la mahindi na nafaka limewekwa strategically Kibaigwa kwa sababu maeneo ya Kibaigwa na yanayopakana kama Mlali,Mkoka,Kongwa,Gairo,Kiteto wanazalisha mahindi kwa wingi
 
Misri na Israel ni mabingwa wa kilimo cha umwagiliaji duniani wanatumia Irrigation farming ...Dodoma hawafanyi kilimo cha umwagiliaji
Swali linabaki palepale umesema Dodoma ni jangwa kama la Kalahari Je inakuaje wanaongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Tende,Rosella .Nenda kule wanapaita Zuzu kwa Pinda uone wakulima wanavyosafirisha kwa wingi maembe,mastaferi,matopetope hadi nje ya nchi .

Hoja ya pili unasema Dar Es Salaam hawalimi lakini kuna soko la Kariakoo Je idadi ya watu wa Jiji la Dar Es Salaam ni sawa na idadi ya watu wa mji mdogo wa Kibaigwa[emoji38][emoji38].Soko kuu la kimataifa la mahindi na nafaka limewekwa strategically Kibaigwa kwa sababu maeneo ya Kibaigwa na yanayopakana kama Mlali,Mkoka,Kongwa,Gairo,Kiteto wanazalisha mahindi kwa wingi
Kumbe jibu unalo kuwa kibaigwa inatoa mahindi kiteto ....
[emoji15][emoji15]
Dodoma ni jangwa na wew unajua Hilo kidogo wilaya ya kongwa na kibakwe ...huku kwingine ni machozi
 
under construction [emoji38][emoji38]
Dodoma
-St Gaspar Hotel& Conference Center
-Nashera Hotel
-Morena Hotel
-Best Western City Hotel
-Dodoma Hotel
-Royal Village
-African Dreams
-Rafiki Dodoma Hotel
Kweli umeishiwa Hiv lodge ya st gasper hapo mwangaza nayo ni ya kuleta humu ..hizo guest bubu za wabunge kufanyia umalaya nazo unaziita hotel [emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
Kweli umeishiwa Hiv lodge ya st gasper hapo mwangaza nayo ni ya kuleta humu ..hizo guest bubu za wabunge kufanyia umalaya nazo unaziita hotel [emoji1787][emoji1787][emoji16]
St Gaspar Hotel....the only hotel in Dodoma with Presidential Suite😀😀😀 alafu unaiita lodge acha kujitoa ufahamu aisee ....najua huelewi maana ya presidential suite ngoja nikusaidie

a suite of rooms, as in a hotel, suitable for a president or other head of state
 
St Gaspar Hotel....the only hotel in Dodoma with Presidential Suite[emoji3][emoji3][emoji3] alafu unaiita lodge acha kujitoa ufahamu aisee ....najua huelewi maana ya presidential suite ngoja nikusaidie

a suite of rooms, as in a hotel, suitable for a president or other head of state
Leta picha ,,,, other wise huo ukumbi wa kuonyesha mpira
 
Kumbe jibu unalo kuwa kibaigwa inatoa mahindi kiteto ....
[emoji15][emoji15]
Dodoma ni jangwa na wew unajua Hilo kidogo wilaya ya kongwa na kibakwe ...huku kwingine ni machozi
Hojayako ulisema Dodoma ni sawa na jangwa la Kalahari sasa mbona unaruka ruka tu kubadilisha mada kama kawaida yako ....Kibaigwa ipo wilaya ipi kama sio Kongwa😀😀😀.
 
Leta picha ,,,, other wise huo ukumbi wa kuonyesha mpira
Ukishindwa hoja unakimbiliaga picha nakumbuka kuna siku ulisema unataka picha za barabara za lami zote za Dodoma CBD...😀😀😀

Ukishindwa hoja unakimbiliaga picha nakumbuka kuna siku ulisema unataka picha za barabara za lami zote za Dodoma CBD...[emoji3][emoji3][emoji3]

Ko hii lodge ndo unayoringia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116]
images (20) (18).jpg
 
Hojayako ulisema Dodoma ni sawa na jangwa la Kalahari sasa mbona unaruka ruka tu kubadilisha mada kama kawaida yako ....Kibaigwa ipo wilaya ipi kama sio Kongwa[emoji3][emoji3][emoji3].
Kibaigwa on the move[emoji116][emoji16][emoji16]
images (20) (16).jpg
 
Back
Top Bottom