Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Doma desert mwajua kujifariji....
Ukiniletea mitaa yenye miti safi kama hii nitumie namba yako ya tigo pesa Kuna bonus [emoji116]
 
Doma desert mwajua kujifariji....
Ukiniletea mitaa yenye miti safi kama hii nitumie namba yako ya tigo pesa Kuna bonus [emoji116]View attachment 2684762View attachment 2684763
😀😀hapo kwenye miti ndio unachekesha sana .Dodoma ndio Jiji pekee Afrika Mashariki lililopandwa miti mingi kandokando ya barabara.CDA walifanya kazi uliyotukuka kupanda miti kupendezesha Jiji la Dodoma .Tembelea baadhi ya barabara kama Morogoro road,Veta road,Nkuhungu four ways,Udom road n.k. uone miti maji ambayo inapatikana jijini Dodoma pekee.Bila kusahau bustani za miti za kisasa za Chinangali Park pamoja na ile pembeni mwa Jakaya Kikwete Convention Centre
 
Acha uongo...mi nipo dodoma miyuji proper. .hyo miti Iko wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…