Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Doma desert mwajua kujifariji....barabara ipi ndani ya Dodoma CBD isiyo na lami....[emoji3][emoji3][emoji3]Dodoma ukwame wapi kila kona lami usijaribu kamwe kulinganisha mtandao mpana wa barabara za lami Dom na vichochoro vya vumbi Mwanza ambavyo havijapangiliwa mipango miji[emoji3][emoji3]
Ukiniletea mitaa yenye miti safi kama hii nitumie namba yako ya tigo pesa Kuna bonus [emoji116]