Unaambiwa leta picha ya mtaa uliopangiliwa mipango miji na miundombinu bora kama huo wa Iyumbu Satellite City wewe unaleta picha za nyumba moja moja za watu๐๐.Ulinganisho ni mtaa kwa mtaa sio nyumba mojamoja za watu binafsi.Huu uchafu wako ndo nini? Jangwa au?
Kuna jamaaangu alifika Dom akanipigia simu akanambia nimefika Dom ila anaponda eti ujenzi wote hajaona jengo linalozidi ghorofa kumi...nikamuuliza upo mitaa gani akanambia nipo apa Uhamiaji Nyerere Square nikamwambia ebu zunguka upande wa pili apo karibu na Msikiti wa Nunge uone kuna jengo hapo linajengwa lina ghorofa ngapi.Akaenda akakuta jengo refu lina zaidi ya ghorofa 12 akabaki kimya mpaka leo๐๐
Watautoa wapi? Huko Kuna Slums tupu ๐๐๐๐Unaambiwa leta picha ya mtaa uliopangiliwa mipango miji na miundombinu bora kama huo wa Iyumbu Satellite City wewe unaleta picha za nyumba moja moja za watu๐๐.Ulinganisho ni mtaa kwa mtaa sio nyumba mojamoja za watu binafsi.
Kubali matokeo huo mtaa wa Iyumbu Satellite City umepangiliwa vizuri kama vile upo Soweto kwa Madiba.
Ukiacha ushabiki utakubaliana kuwa Dom ni Jiji lililopangiliwa haswaa na Mwanza mnapigwa Knock- Out.
Dodoma gani inajengo la zaid ya ghorofa 12?Kuna jamaaangu alifika Dom akanipigia simu akanambia nimefika Dom ila anaponda eti ujenzi wote hajaona jengo linalozidi ghorofa kumi...nikamuuliza upo mitaa gani akanambia nipo apa Uhamiaji Nyerere Square nikamwambia ebu zunguka upande wa pili apo karibu na Msikiti wa Nunge uone kuna jengo hapo linajengwa lina ghorofa ngapi.Akaenda akakuta jengo refu lina zaidi ya ghorofa 12 akabaki kimya mpaka leo[emoji3][emoji3]
Sasa kanisa nalo utahesabia ni private sector unataka kunambia Tz hii makanisa Awana miradi kwa kila mkoa?[emoji3][emoji3]Si huwa mnasema Dom miradi yote ya serikali hakuna uwekezaji binafsi....vp tena aisee
Hiyo sio government hotel ni hotel binafsi inaitwa Bestern Western City Hotel.Ni hoteli yenye hadhi ya nyota tano.Jengo wanalolitumia wamepangisha yaani linamilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Rudi shule aisee...kwahiyo Kanisa ni Serikali๐๐.Na kwa taarifa yako ofisi kuu ya Kanisa la Anglican Tanzania ni Dodoma.Nakutajia tu baadhi ya projects kubwa za Kanisa la Anglican Dodoma...Chuo Kikuu cha St John,Hospital kubwa za Mvumi na Mackay House,Real Estates n.kSasa kanisa nalo utahesabia ni private sector unataka kunambia Tz hii makanisa Awana miradi kwa kila mkoa?
Kwamba hio sio DODOMA CITY HOTEL?Hiyo sio government hotel ni hotel binafsi inaitwa Bestern Western City Hotel.Ni hoteli yenye hadhi ya nyota tano.Jengo wanalolitumia wamepangisha yaani linamilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Wewe umejuaje ni hotel ya nyota 5?Hiyo sio government hotel ni hotel binafsi inaitwa Bestern Western City Hotel.Ni hoteli yenye hadhi ya nyota tano.Jengo wanalolitumia wamepangisha yaani linamilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Unanifrahisha sana. Kweny uzi wa arusha vs dom unasema hali ya hewa ya dom ni sawa na arusha.leo unasema hali ya hewa dom ni sawa na mwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani hali ya hewa Dodoma kwa sasa ipoje[emoji3][emoji3].Dodoma pia hali ya hewa ni ya wastani sio joto wala sio baridi haina tofauti na Mwanza.
Alafu kwa kuongezea tu hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji.Hali ya hewa ingekua kigezo cha kupima mji basi Lushoto,Njombe,Tukuyu na Makete zingeshakuwa majiji tayari...[emoji3][emoji3][emoji3]
Soma vizuri maandiko yangu huwa natoa facts na hoja tupu...hali ya hewa ya Arusha na Dodoma haitofautiani kuanzia kipindi cha mwezi Mei hadi Septemba .Kipindi hiki ni cha baridi kali Dodoma(hasa nyakati za usiku) kama ilivyo kwa Arusha.Tofauti ya hali ya hewa ya Dodoma na Arusha ni kipindi kuanzia Oktoba hadi Aprili ambapo Dodoma kuna hali ya hewa ya wastani ya JotoUnanifrahisha sana. Kweny uzi wa arusha vs dom unasema hali ya hewa ya dom ni sawa na arusha.leo unasema hali ya hewa dom ni sawa na mwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaitwa Bestern Western Dodoma City Hotel
utapasuka kwa wivu na chuki kwa Dom City ...kubali matokeo ndugu ukileta ushabiki wako utakua unaumbuka kilasiku humuWewe umejuaje ni hotel ya nyota 5?
Makete,Lushoto,Mafinga,Njombe ni baridikali na kijani mwakamzima ila cha ajabu hakuna hata mji wenye hadhi ya manispaa.Dodoma๐๐
Yani hiyo miradi ya Kanisa ndo yakutambisha nayo ..je nikikwambia huku Arusha Kanisa nalosalia limejenga malls utaamini?Rudi shule aisee...kwahiyo Kanisa ni Serikali[emoji3][emoji3].Na kwa taarifa yako ofisi kuu ya Kanisa la Anglican Tanzania ni Dodoma.Nakutajia tu baadhi ya projects kubwa za Kanisa la Anglican Dodoma...Chuo Kikuu cha St John,Hospital kubwa za Mvumi na Mackay House,Real Estates n.k
Ila Arusha sa hv kuna mvua vipi Dodoma [emoji2]Soma vizuri maandiko yangu huwa natoa facts na hoja tupu...hali ya hewa ya Arusha na Dodoma haitofautiani kuanzia kipindi cha mwezi Mei hadi Septemba .Kipindi hiki ni cha baridi kali Dodoma(hasa nyakati za usiku) kama ilivyo kwa Arusha.Tofauti ya hali ya hewa ya Dodoma na Arusha ni kipindi kuanzia Oktoba hadi Aprili ambapo Dodoma kuna hali ya hewa ya wastani ya Joto
๐๐Si huwa unasema Dom miradi yote ni ya Serikali hakuna wawekezaji binafsi mbona unaruka ruka tena....au na wewe unataka uonekane ilimradi unabishana tuYani hiyo miradi ya Kanisa ndo yakutambisha nayo ..je nikikwambia huku Arusha Kanisa nalosalia limejenga malls utaamini?
Dodoma wana msimu mmoja tu wa mvua kuanzia December mwisho April