Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Huu uchafu wako ndo nini? Jangwa au?
Unaambiwa leta picha ya mtaa uliopangiliwa mipango miji na miundombinu bora kama huo wa Iyumbu Satellite City wewe unaleta picha za nyumba moja moja za watu😀😀.Ulinganisho ni mtaa kwa mtaa sio nyumba mojamoja za watu binafsi.
Kubali matokeo huo mtaa wa Iyumbu Satellite City umepangiliwa vizuri kama vile upo Soweto kwa Madiba.

Ukiacha ushabiki utakubaliana kuwa Dom ni Jiji lililopangiliwa haswaa na Mwanza mnapigwa Knock- Out.
 
Kuna jamaaangu alifika Dom akanipigia simu akanambia nimefika Dom ila anaponda eti ujenzi wote hajaona jengo linalozidi ghorofa kumi...nikamuuliza upo mitaa gani akanambia nipo apa Uhamiaji Nyerere Square nikamwambia ebu zunguka upande wa pili apo karibu na Msikiti wa Nunge uone kuna jengo hapo linajengwa lina ghorofa ngapi.Akaenda akakuta jengo refu lina zaidi ya ghorofa 12 akabaki kimya mpaka leo😀😀
 
Unaambiwa leta picha ya mtaa uliopangiliwa mipango miji na miundombinu bora kama huo wa Iyumbu Satellite City wewe unaleta picha za nyumba moja moja za watu😀😀.Ulinganisho ni mtaa kwa mtaa sio nyumba mojamoja za watu binafsi.
Kubali matokeo huo mtaa wa Iyumbu Satellite City umepangiliwa vizuri kama vile upo Soweto kwa Madiba.

Ukiacha ushabiki utakubaliana kuwa Dom ni Jiji lililopangiliwa haswaa na Mwanza mnapigwa Knock- Out.
Watautoa wapi? Huko Kuna Slums tupu 😁😁😁😁
 
Kuna jamaaangu alifika Dom akanipigia simu akanambia nimefika Dom ila anaponda eti ujenzi wote hajaona jengo linalozidi ghorofa kumi...nikamuuliza upo mitaa gani akanambia nipo apa Uhamiaji Nyerere Square nikamwambia ebu zunguka upande wa pili apo karibu na Msikiti wa Nunge uone kuna jengo hapo linajengwa lina ghorofa ngapi.Akaenda akakuta jengo refu lina zaidi ya ghorofa 12 akabaki kimya mpaka leo[emoji3][emoji3]
Dodoma gani inajengo la zaid ya ghorofa 12?
 
Dodoma Government Hotel
20230812_121237%20(1).jpg

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kanisa nalo utahesabia ni private sector unataka kunambia Tz hii makanisa Awana miradi kwa kila mkoa?
Rudi shule aisee...kwahiyo Kanisa ni Serikali😀😀.Na kwa taarifa yako ofisi kuu ya Kanisa la Anglican Tanzania ni Dodoma.Nakutajia tu baadhi ya projects kubwa za Kanisa la Anglican Dodoma...Chuo Kikuu cha St John,Hospital kubwa za Mvumi na Mackay House,Real Estates n.k
 
Hiyo sio government hotel ni hotel binafsi inaitwa Bestern Western City Hotel.Ni hoteli yenye hadhi ya nyota tano.Jengo wanalolitumia wamepangisha yaani linamilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Wewe umejuaje ni hotel ya nyota 5?
 
Kwani hali ya hewa Dodoma kwa sasa ipoje[emoji3][emoji3].Dodoma pia hali ya hewa ni ya wastani sio joto wala sio baridi haina tofauti na Mwanza.

Alafu kwa kuongezea tu hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji.Hali ya hewa ingekua kigezo cha kupima mji basi Lushoto,Njombe,Tukuyu na Makete zingeshakuwa majiji tayari...[emoji3][emoji3][emoji3]
Unanifrahisha sana. Kweny uzi wa arusha vs dom unasema hali ya hewa ya dom ni sawa na arusha.leo unasema hali ya hewa dom ni sawa na mwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unanifrahisha sana. Kweny uzi wa arusha vs dom unasema hali ya hewa ya dom ni sawa na arusha.leo unasema hali ya hewa dom ni sawa na mwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soma vizuri maandiko yangu huwa natoa facts na hoja tupu...hali ya hewa ya Arusha na Dodoma haitofautiani kuanzia kipindi cha mwezi Mei hadi Septemba .Kipindi hiki ni cha baridi kali Dodoma(hasa nyakati za usiku) kama ilivyo kwa Arusha.Tofauti ya hali ya hewa ya Dodoma na Arusha ni kipindi kuanzia Oktoba hadi Aprili ambapo Dodoma kuna hali ya hewa ya wastani ya Joto
 
Dodoma👇👇

Makete,Lushoto,Mafinga,Njombe ni baridikali na kijani mwakamzima ila cha ajabu hakuna hata mji wenye hadhi ya manispaa.
Kilasiku tunarudia humu kwamba hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji.Hali ya hewa ni natural factor.
Haters wote wa Dom ngonjera zao ni zilezile ...utasikia Dodoma ni jangwa,mara ukame😀😀.
Kama hali ya hewa ingekua ndio kigezo cha kupima ubora wa mji basi Makete ingeshakua kama Ulaya 🤣🤣
 
Rudi shule aisee...kwahiyo Kanisa ni Serikali[emoji3][emoji3].Na kwa taarifa yako ofisi kuu ya Kanisa la Anglican Tanzania ni Dodoma.Nakutajia tu baadhi ya projects kubwa za Kanisa la Anglican Dodoma...Chuo Kikuu cha St John,Hospital kubwa za Mvumi na Mackay House,Real Estates n.k
Yani hiyo miradi ya Kanisa ndo yakutambisha nayo ..je nikikwambia huku Arusha Kanisa nalosalia limejenga malls utaamini?
 
Soma vizuri maandiko yangu huwa natoa facts na hoja tupu...hali ya hewa ya Arusha na Dodoma haitofautiani kuanzia kipindi cha mwezi Mei hadi Septemba .Kipindi hiki ni cha baridi kali Dodoma(hasa nyakati za usiku) kama ilivyo kwa Arusha.Tofauti ya hali ya hewa ya Dodoma na Arusha ni kipindi kuanzia Oktoba hadi Aprili ambapo Dodoma kuna hali ya hewa ya wastani ya Joto
Ila Arusha sa hv kuna mvua vipi Dodoma [emoji2]

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Yani hiyo miradi ya Kanisa ndo yakutambisha nayo ..je nikikwambia huku Arusha Kanisa nalosalia limejenga malls utaamini?
😆😆Si huwa unasema Dom miradi yote ni ya Serikali hakuna wawekezaji binafsi mbona unaruka ruka tena....au na wewe unataka uonekane ilimradi unabishana tu
 
Back
Top Bottom