Unaambiwa leta picha ya mtaa uliopangiliwa mipango miji na miundombinu bora kama huo wa Iyumbu Satellite City wewe unaleta picha za nyumba moja moja za watu😀😀.Ulinganisho ni mtaa kwa mtaa sio nyumba mojamoja za watu binafsi.Huu uchafu wako ndo nini? Jangwa au?
Kubali matokeo huo mtaa wa Iyumbu Satellite City umepangiliwa vizuri kama vile upo Soweto kwa Madiba.
Ukiacha ushabiki utakubaliana kuwa Dom ni Jiji lililopangiliwa haswaa na Mwanza mnapigwa Knock- Out.