Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wamekuja wengi kama wewe wameishia kuondoka kwa adabu mikono nyuma huku wameinamisha vichwa kwa aibu baada ya kugundua mwanza yao imenyewa ile mbaya na Dodoma
Acha kufananisha Mwanza na vitu ajabu.
 
Dodoma kinachombeba ni serekali tofauti na hapo ni Chaka bovu, Moshi ni colonial town ambao imekua ikiadhibiwa na ccm kwa kuchagua wapinzania, hata kihistoria huwezi iweka dodoma na Moshi

Kwa Sasa hivi dodoma imeipita Moshi mbali kwa sababu ya serekali na sio kitu kingine
 
Wapi ambako serikali haijengi miradi?

Na wewe wa Moshi usichafue Uzi tafuta manyoni ndio mshindane na Moshi.
 
Ukitoa majengo ya serikali na ofisi za kiserikali, ni nini tofauti kati ya Dodoma na singida?
Unaongea mafyongo hapa huku umekwepa hoja ya kuleta walahu list ya majengo 5 above 10 flows toka Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…