We nae umeanza kulala wakati unacomment yaani sababu ya kukishambulia kiwanja chenye vigezo vyote vya miundombinu muhimu, vifaa vya usalama na uzio, terminal ndogo na run way ndefu kuliko hata kile cha Mwanza ni nini hasa au unafikiri ukubwa wa kiwanja ni eneo la nyasi? Pale tunachoangalia ni eneo la kuwezesha ndege kutua nakupaki ambavyo vyote vipo na ni lami na zege safi.
Hicho kiwanja unachokisifu cha moshi nje ya vichaka kina sifa zipi na matumizi yapi? Kati yake na kile cha Dodoma kipi kinavutia kimwonekano? Kipi kina matumizi mengi na kinapokea mpaka Air Tanzania kati ya hivyo viwili? Hata mji mkuu wa nchi jirani kuna viwanja viwili vya ndege kikubwa ni international na kingine kidogo cha domestic, why Dodoma isiwe navyo viwili?