Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwamba report ya sensa ya idadi ya maghorofa yaliyokatika majiji ukuona au unajitoa ufahamu?
 
Nitajie barabara yoyote ya vumbi ndani ya Dodoma CBD tulinganishe na barabara za vumbi na vichochoro vya Mwanza na Arusha visivyopangiliwaπŸ˜†πŸ˜†.
KijaniπŸ‘‡πŸ‘‡
Sasa braza unafananisha CBD za Ar,Mwanza na dodoma?! CBD ya dodoma saizi yake si kama Moshi tu
 
Dodoma imerekodi miradi sifuri . ndani ya mwezi July. Wakati mwanza ikirecord miradi 6 ....mpaka Sasa mwanza imerekodi miradi 12 Toka January wakati dodoma wana miradi 6 😁😁😁.....source TIC
 
Dodoma imerekodi miradi sifuri . ndani ya mwezi July. Wakati mwanza ikirecord miradi 6 ....mpaka Sasa mwanza imerekodi miradi 12 Toka January wakati dodoma wana miradi 6 😁😁😁.....source TIC
Kinacho make sense ni value ya miradi sio namba tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…