ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa nini na Kwa lipi hasa?Miaka michache ijayo Moro itaipiku dodoma
Ni jengo la Kitega uchumi Sasa Dom Kuna biashara gani za kupanga jengo kubwa kama Lile?Kwanini ilo jengo la TRA wanalotaka kujenga huko mbanano city kwanini lisiwekwe Dodoma, hii nchi imejaa majuha, tunataka ilo li scrapper la TRA liwekwe makao makuu ya nchi tumechoka kubabanishwa huko Dar....hii nchi ngumu sana.
Na sisi Dodoma kama makao makuu ya nchi tunaitaji hiyo migudulia sio Dar peke yake, hayo machupa matatu yanatosha hapo posta.Ni jengo la Kitega uchumi Sasa Dom Kuna biashara gani za kupanga jengo kubwa kama Lile?
Majengo sio mapamboNa sisi Dodoma kama makao makuu ya nchi tunaitaji hiyo migudulia sio Dar peke yake, hayo machupa matatu yanatosha hapo posta.
Hiyo mitungi mitatu mbona ipo empty kama sio mapambo ni nini? ili upendezeshe mji lazima huwe na white elephant projects mfano iyo mitungi mitatu ya posta ni white elephants ππ, nasi wana Dodoma tunataka ilo jengo la TRA ghorofa 40 kwenye mji mkuu sio kila kitu kizuri ni Dar tu hii centralization itaisha lini????
πππ¨Hiyo mitungi mitatu mbona ipo empty kama sio mapambo ni nini? ili upendezeshe mji lazima huwe na white elephant projects mfano iyo mitungi mitatu ya posta ni white elephants ππ, nasi wana Dodoma tunataka ilo jengo la TRA ghorofa 40 kwenye mji mkuu sio kila kitu kizuri ni Dar tu hii centralization itaisha lini????
Haters wa Dom City watakwambia hiyo ni editing....manake wanasema Dom City ni jangwa,hakuna miti,wala ukijaniπ€£π€£π€£π€£
Hapo ni congo, Dodoma hakuna uoto wa kijaniππππ
πππ¨Bado hujasema Hadi useme,Hapo ni congo, Dodoma hakuna uoto wa kijaniππππ
Hapo kuna mkanganyiko mara wanajenga jipya mara wanamalizia la zamani lakini wataongeza baadhi ya miundombinu kwenye ilo godown la sasa, kama wanamalizia la sasa sioni matumizi ya hizo bilion 30, hizo ni pesa nyingi sana kwa kumalizia, na kama wanajenga jipya watalijenga sehemu gani ikiwa bado kuna majengo ya zamani na wamesema linatakiwa kukamilika august 18, kifupi ujenzi wa hilo jengo umekaa kisiasa zaidi kuliko uhalisia.Kitombile Kwa nini jengo jipya? Kwani Lile la kwanza Lina shida gani Hadi liachwe?
View: https://www.instagram.com/p/C0yThY5tKMc/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Kitombile Kwa nini jengo jipya? Kwani Lile la kwanza Lina shida gani Hadi liachwe?
View: https://www.instagram.com/p/C0yThY5tKMc/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Jibu swali langu
Jengo la zamani halina viwango vinavyostahili halina partition, lipo kama jumba la sinema, halina vitu vya msingi zaidi ya hall la kukalia watu kama wapo kwenye kikao.Jibu swali langu
πππππ€£π€£π€£π€£π€£ππππππJengo la zamani halina viwango vinavyostahili halina partition, lipo kama jumba la sinema, halina vitu vya msingi zaidi ya hall la kukalia watu kama wapo kwenye kikao.
Kingine ilo jengo lilijejengwa na watu wasiokuwana exposure na mambo ya usafiri wa anga na lengo lao kuu ni kutafuta maokoto bila kujali viwango stahiki.Kitombile Kwa nini jengo jipya? Kwani Lile la kwanza Lina shida gani Hadi liachwe?
View: https://www.instagram.com/p/C0yThY5tKMc/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
ππππ acha kumuingiza mwendazake kwenye jengo lilijengwa na wahuni.πππππ€£π€£π€£π€£π€£ππππππ
Bila shaka Hilo Jenga Ali design yule baba yenu Injinia Mwendazake