Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

 
Naludia tena kinachofanya Dodoma ionekane imepangwa ni hizo Rear Estate za Nhc, TBA, Watumishi Housing na baadhi ya mitaa, sehemu kubwa ni vurugu mechi tu kama maeneo mengine, Nyamagana kinachoiponza Slum zake zipo kwenye miinuko hivyo huonekana kiurahisi na ndio lango la kuingilia Mwanza, Slum za Mwanza ni Milima ya Mabatini, Shede, Igogo, Milima ya Mswahili, Milima ya Mkuyuni na bahati mbaya naona na Milima ya Mkolani na Nyamazobe nayo inaenda kuharibika lakini Maeneo yaliyotambalale yalipangwa zamani na hakuna Slum
 
Chukua Tambarare anzia Mlango mmoja, Uhuru, Unguja, Rufiji, Isamilo, Nera, Kirumba Mwaloni, Magomeni, Kirumba, Kitangiri, Ghana, Bwiru, Kilimahewa Big Bite,Rudi Nyamhongoro, North Buswelu, South Buswelu, PPF, Sabasaba, Ilemela, Airport Mhonze mpaka Sangabuye huko Halmashauli ya Ilemela inapouza Viwanja nakuhakikishia Dodoma na Ilemela tofauti ni ndogo sana kwa maeneo yaliyopangwa
 
Wengi hawaijui ..wamekariri
 
Tatizo la Slum Sana sana mi naona ni miji yote mikubwa, Kutusingizia Big Fish city Pekee tunajidanganya hili jambo sio dogo hususani maeneo ambayo thamani ya Ardhi ipo juu
 
Agha Khan extension...new facilities at Dom City Centre alafu akina Mikdde wanatwambia eti Dodoma uwekezaji wa majengo ni wa serikali pekee hakuna uwekezaji binafsiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dodoma Judiciary Square almost completeπŸ‘‡πŸ‘‡...design ya majengo very unique kama ya Dubai vileπŸ˜‚πŸ˜‚

 
Sijakuambia PSSSF .maana hata mwanza PSSSF zipo ..leta NSSSF
Si tulikubaliana kwamba Mwanza inajengwa na private sector pekee serikali haihusiki...vp tena mwenzetuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…