Kweli wewe ni pimbi, Njoo tukuzungushe mwanza na viunga vyake acha kusimuliwa kuku wewe, Huko kuna beach gani ya maana naona mapori tu hapo,, leta beach moja wapo iliyopo mjini, Dodoma,Wewe uwezo wako wa geography ni mdogo sana ndugu ningekushauri ukabishane Facebook ππ....kwa taarifa yako beaches zilizopo Matema Beach ni the best apa Tanzania..kwa urefu na usafi.Na hapo bado sijakutajia long beaches za Msimbati ,Mtwara au Mbaba Bay Nyasa.Tuulize sisi ambao tumesafiri mikoa yote ya Tanzania sio takataka hizo za Mwanza,πππView attachment 2988699View attachment 2988698
Hii mialoo ya kuogelea walala hoi ndio unaita beach, unazijua kweli beach wewe?Wewe uwezo wako wa geography ni mdogo sana ndugu ningekushauri ukabishane Facebook ππ....kwa taarifa yako beaches zilizopo Matema Beach ni the best apa Tanzania..kwa urefu na usafi.Na hapo bado sijakutajia long beaches za Msimbati ,Mtwara au Mbaba Bay Nyasa.Tuulize sisi ambao tumesafiri mikoa yote ya Tanzania sio takataka hizo za Mwanza,πππView attachment 2988699View attachment 2988698
Kama hujui kitu ni bora kuuliza kwa "intellectual" tuliokuzidi IQ sio kuja kujiaibisha humu wewe ni layman hujuiπhizo IFM sijui TIA ni vyuo vikuu vilivyo Kwenye mfumo wa taasisi ndio maana hata wanafunzi wake wanapata mkopo na vinaoffer Hadi masters.. kawadanganye wasiojua
Ndo ujue hizo institute japo haziitwi university ila Zina sifa za university na hata zisipoitwa university miaka 100 ijayo ..na ndiyo sababu ya kusajiliwa na TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITY (TCU) .hamna chuo kisicho na sifa ya uni kikasajiliwa TCU ...Kama hujui kitu ni bora kuuliza kwa "intellectual" tuliokuzidi IQ sio kuja kujiaibisha humu wewe ni layman hujuiπView attachment 2988716
ππNatumia nguvu kubishana na MEMKWA ambaye hajawahi kusoma physical geography ππHii mialoo ya kuogelea walala hoi ndio unaita beach, unazijua kweli beach wewe?
Hujui kitu wewe layman si ndio wewe ulisema mwanzo eti St John's University Dom wamefutiwa kozi za afyaπππ nimekuletea ushahidi wa TCU.Ndo ujue hizo institute japo haziitwi university ila Zina sifa za university na hata zisipoitwa university miaka
Nimekuuliza Massachusetts institute of technology Boston ..haijakidhi vigezo vya university kuliko st John dodoma?Hujui kitu wewe layman si ndio wewe ulisema mwanzo eti St John's University Dom wamefutiwa kozi za afyaπππ nimekuletea ushahidi wa TCU.
Kwa taarifayako IFM,CBE,Tengeru,ISW,DIT walishaomba TCU kupandishwa hadhi ya University na maombiyao yote yalipigwa chini kwasababu vigezo havikutimia.Ardhi University mwanzo ilikua UCLAS(UDSM university college of Land& Architectural Studies) walipokidhi vigezo wakapewa fully fledged University the same as kwa MUST-Mbeya
Iko under TCU kumbe...ππNimekuuliza Massachusetts institute of technology Boston ..haijakidhi vigezo vya university kuliko st John dodoma?
Umeanza kuleta Vyuo vya Kata ππ
Umeanza kuleta Vyuo vya Kata ππ
Hakuna aliyekimbia maana mlianza kuokoteza kajumba kamoja kamoja na madarasa mnaita apartments,Sasa huo ni ujinga , apartments Huwa haziwi hivyo.Mtakimbia tena kama jana, kwenye apartment soon mabomu yanaanza
Kumbe unajua ππMshaanzq kutafuta excuse .... sengerema ipo mkoa Gani ...tunakoelekea utasema tunataka vya nyamagana tu maana ndio MCC ,vya kwingine hutaki . .kipigo kipo palepale
Mwanza hakuna beaches zaidi mawe na viximba vya dagaa ππView attachment 2988717Dodoma beach zaoπ€£π€£π€£π€£
Anza Safari Chamazi kuelekea Msongola,,,Nyoosha kwenda Mvuti then Ufike Chanika mwisho...km 15Mhhhh... chai hii.. Dar yenyewe haina ukubwa huo wa kutembea km hizo ndani ya mji
uijIko under TCU kumbe...ππ
Kumbe unajua ππ
Weka hapa video au picha za ujenzi wa Mwanza University π€£π€£
uijIko under TCU kumbe...ππ
Kumbe unajua ππ
Weka hapa video au picha za ujenzi wa Mwanza University π€£π€£
Kumbe unajua ππ
Weka hapa video au picha za ujenzi wa Mwanza University π€£π€£
Kwani UDOM ipo CBD mbona unajitoa ufahamuNioneshe progress ya ujenzi wa Mwanza University π€£π€£π€£π€£
Ardhi University inajengwa maporini huko Sengerema yaani ni sawa na kusema Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo.
Hadi City College πππππ
We city college unalichukuliaje unadhani ni kama tu vyuo twenu twa kuokoteleza failure wa mtaani...city college mwanza pamoja na Ile ya dar zinaenda kuwa university..na mwanza wana mradi wa ujenzi wa hospital na kuongeza academic blocks