Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwa hiyo UDOM Iko Wilaya Nyingine Nje ya Dodoma CC au? 😁😁😁😁
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Mkuu unatumia nguvu kubishana na mtu ambaye hajawahi kufika Dom ndiomana anategemea picha za googleπŸ˜†πŸ˜†. Kutoka City Center hadi UDOM ni mwendo wa dakika 10 tu kwa private car.Kutoka City Centre mpaka Ring Road iliyozunguka UDOM ni umbali wa dakika 20 tu kwa private car
 
We fala mbona kama una stress? 😁😁😁

Kula chuma hiyo kutoka Kikombo Dom City πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/WizaraMNN/status/1789899797412843872?t=O8K5NXfaWZGm03K7M-uzJw&s=19
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†subiri waje kukwambia eti Dom hakuna maghorofa ,hakuna greenish alafu utawasikia tena Mwanza haijengwi na Serikali inajengwa na private sectorπŸ˜‚πŸ˜‚Ukiwauliza hiyo private sector imejenga mtaa gani uliopangiliwa kama Dom wanakimbia au ukiwaambia wakutajie private real estate company kubwa apo Mwanza wanaishia kupost picha za madalali tuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Unajivunia kota za polisi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…