Kwenye masafara na wewe umo kaza fuvu dogo akili utakutana nayo uzeeni.Yaani wewe unabisha ilimradi na wewe uonekane unabishana na "genius" kama mimiππ.
Nani kakwambia Dom hakuna skyscrapers ππ.
Yaani wewe na wenzako mnapewa "facts" mnashindwa kukubali matokeo alafu nyie mnataka tugeuze hii thread kama album ya picha.Hamtutoi kwenye reli aisee sisi
sio wapiga picha ππ.Yaani unataka mtu kwamfano aende Magufuli City alafu apige picha ya kila ghorofa pale atume humu ndio uanze kubishana na wewe kwa kutuma picha ya Mwanzaππ.Ipo siku utakuja kusema unataka picha ya Ikulu yote ππ.
Mijadala huwa inajibiwa kwa hoja kwa hoja, facts kwa facts ndiomana kule ITV wana kipindi kinaitwa malumbano ya hoja sio malumbano ya picha kwa picha...π€£π€£