Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Yaani wewe unabisha ilimradi na wewe uonekane unabishana na "genius" kama mimi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.
Nani kakwambia Dom hakuna skyscrapers ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.
Yaani wewe na wenzako mnapewa "facts" mnashindwa kukubali matokeo alafu nyie mnataka tugeuze hii thread kama album ya picha.Hamtutoi kwenye reli aisee sisi
sio wapiga picha ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.Yaani unataka mtu kwamfano aende Magufuli City alafu apige picha ya kila ghorofa pale atume humu ndio uanze kubishana na wewe kwa kutuma picha ya Mwanza๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.Ipo siku utakuja kusema unataka picha ya Ikulu yote ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.
Mijadala huwa inajibiwa kwa hoja kwa hoja, facts kwa facts ndiomana kule ITV wana kipindi kinaitwa malumbano ya hoja sio malumbano ya picha kwa picha...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kwenye masafara na wewe umo kaza fuvu dogo akili utakutana nayo uzeeni.
 
Huyu jamaa nimekua nikifaatiria chatting zake aise ni bonge moja la mshamba sana halafu bogus kinoma Thread inaongelea CBD ya Dodoma na Mwanza, yeye anakuja kukutajia majina ya mitaa mara ilazo, nzuguni, kweli Nzuguni kuna scraper ya 12f huko Au yeye akiona gorofa tu ndio anataja, Bora hata choice variable huwa anaenda na uthibitisho, JE NI KWELI CBD YA DODOMA INAIPIKU CBD YA MWANZA? sasa hapa tutaamini vipi bila picha? Daaah masare ni ndina kichizi
Akili yake inamtuma kuamini maghororofa yapo Dodoma tu na kwamba Dodoma ni magufuli city basi. Halafu anakwambia ni mtu wa "fact", pengine tumwambie atoe "f" ili ijulikane kuwa ni mtu wa "act".
 
Title ya thread na mtoa mada aliyoianzisha inasema "Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?" Mtoa mada ameelezea vigezo,points na hoja kadhaa kwenye andiko lake na amekaribisha uchangiaji wa hoja sio picha.Hii sio thread ya picha...Hii ni thread ya hoja,points,facts na reality especially kwa watu kama sisi ambao tumeishi na kufanya kazi kwenye majiji haya yote mawili.
Hatukatai picha na vielelezo vingine zinaweza kutumika (hata mimi huwa marachache napost picha na vielelezo vingine) ila shida yenu nyinyi mnataka kugeuza hii thread kama studio ya kubishana picha na video.Facts mnapewa mnashindwa kuzijibu kwa facts saizi mnajificha kwenye kichaka cha picha ili kututoa kwenye reli.
Nikupe mfano kuna mmoja nilimpa fact ya kwamba Dodoma wamependelewa mtandao mpana wa barabara za lami kuliko mji wowote Tanzania akaniambia leta picha๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€...sasa sijui alitaka niende nikapige picha ya barabara zote za lami Dom .
Tunapoelekea utakuja kubisha hata simple fact kuwa Ikulu au makazi ya Rais hayapo Dom mpaka uone picha+video ya drone ya Ikulu yote๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Unabwabwaja
 
Tupate ridhaa yako upo tayari tushindanishe hotels?. Jibu ndiyo au hapana, story nyingi hatuzitaki. Yaani tunataka justifiable facts na siyo kubwabwaja.
Mbeya ilikutoa makamasi ndio utaiweza Dom?

Jibu hizo 2 nimeziweka hapo
 
Mbeya ilikutoa makamasi ndio utaiweza Dom?

Jibu hizo 2 nimeziweka hapo
Tuanze nijibu hapa twende kazini.
11d7fc8edf7abae97a2da07b0981143a.jpg

Adden palace hotel

View: https://www.instagram.com/reel/Ctg8JQTgOH5/?igsh=MXF3ZXFuMGllcHI5cg==
 
Hakuna kitu kinachofanya niichukie Dodoma kama shida ya maji. Dodoma tunakunywa, tunapikie na tunaoga maji machafu sana. Ndio maana ukienda Hospital za Dodoma magonjwa ya tumbo nz macho yanaongoza. Ukiongeza na uchafu wa mji, hasa sokoni (majengo na sabasaba) na mitaro mchafu (pamoja na kuwa na barabara nzuri) sioni sifa ya uzuri wa Jiji la Dodoma.
๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Nikusahihishe tu Dom hakuna "shida" ya maji ila kuna "upungufu" wa Maji kutokana na ongezeko la watu na shughuli za kijamii especially baada ya Serikali kuhamia rasmi na kwa miradi inayoendelea.Mwanza yenyewe licha ya kuzungukwa na Ziwa Victoria bado wana changamoto ya Maji.
๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Hakuna mji wowote Tanzania ambao maji yanapatikana 24/7 mwakamzima.
Na kwa miradi ya maji inayoendelea kujengwa Dom kwamfano mradi wa Bwawa la Farkwa,mradi wa kuongeza visima Mzakwe n.k ishu ya maji baada ya miaka michache Dom itakua historia.
๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰Ukija kwenye suala la usafi Dom ni mojawapo ya miji misafi apa Tanzania huwezi kuikosa kwenye top 5 ...umekiri mwenyewe kuwa wana barabara nzuri na mtandao mpana wa barabara za lami. Ukienda soko la Majengo ulilolitaja hili limezungukwa na mfereji/mto ambao ni msafi mwakamzima ingekua miji mingine ule mfereji ungeshageuzwa dampo la takataka. Dom ni mji pekee Tanzania wenye dampo la kisasa na la ainayake lililopo Chidaya-Mvumi Road yale malori yanayobeba takataka za kwenye makontena yote yanaenda kumwaga hizo taka kwenye hilo dampo.
 
Back
Top Bottom