Kwenye masafara na wewe umo kaza fuvu dogo akili utakutana nayo uzeeni.Yaani wewe unabisha ilimradi na wewe uonekane unabishana na "genius" kama mimi๐๐.
Nani kakwambia Dom hakuna skyscrapers ๐๐.
Yaani wewe na wenzako mnapewa "facts" mnashindwa kukubali matokeo alafu nyie mnataka tugeuze hii thread kama album ya picha.Hamtutoi kwenye reli aisee sisi
sio wapiga picha ๐๐.Yaani unataka mtu kwamfano aende Magufuli City alafu apige picha ya kila ghorofa pale atume humu ndio uanze kubishana na wewe kwa kutuma picha ya Mwanza๐๐.Ipo siku utakuja kusema unataka picha ya Ikulu yote ๐๐.
Mijadala huwa inajibiwa kwa hoja kwa hoja, facts kwa facts ndiomana kule ITV wana kipindi kinaitwa malumbano ya hoja sio malumbano ya picha kwa picha...๐คฃ๐คฃ