ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wewe unaongea ukweli ambao wenzako wanakaza shingo Hadi wafe na tai ππππMimi ni mkazi wa Mwanza,Mwanza inazidiwa na Arusha ,Mwanza kinachoisaidia ni population.Mwanza & Arusha zote zimisha pitwa na Dodoma.
Kwani Udom ipo Mpwapwa au Kondoaππ. Unachekesha sana yaani unaleta miradi ya Sengerema na Misungwi unalazimisha iwe ya Mwanza Jiji. Huna tofauti na yule mshamba mwenzako aliyekuja kupost picha za majengo ya Chuo Cha Michezo Malya Kwimba alafu anajisifu eti Mwanza imeizidi Dom vyuoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wa
Wakati unapost idadi ya maghorofa ya udom kumbe yalikuwa CBD?
Ukitaka ugomvi na watu wa Mwanza is Slum waambie wakupe view za Mitaa Yao ππHawa vijana siyo wazima kabisa, yani hii ndiyo CBD iliyofunguliwa thread, Dodoma bado safari ni ndefu sana.
Wewe si unaijua Mwanza nje ndani mzee babaSi tulikubaliana Mwanza inajengwa na private sector hakuna mbeleko ya Serikali kama Dom...vp tenaπππ
Safari ndefu ya kushindana na Dar ila sio level ya hivyo Vijiji vyenu ππHawa vijana siyo wazima kabisa, yani hii ndiyo CBD iliyofunguliwa thread, Dodoma bado safari ni ndefu sana.
Hoteli ya Gold Crest ipo jengo gani...!!?Kuna mbwa koko huko juu inasema Gold crest ni jengo la PSSSF π€£π€£π€£π€£na Gold crest amepanga, Halafu jamaa anasema ana IQ kubwa aise nimecheka hatariii
Hivi Kwa nini huko Kijijini kwenu Mwanza hakunaga real estates company?Wewe si unaijua Mwanza nje ndani mzee baba
Mitaa tushapost sana humu ngoja turudie hiyo mitaa yakawaida sanaUkitaka ugomvi na watu wa Mwanza is Slum waambie wakupe view za Mitaa Yao ππ
Dom HQ ππ
View: https://www.instagram.com/p/DA2g6XNOZl3/?igsh=cmhlYXlqdjF2ZTd2
π€£π€£π€£π€£ Mitaa gani? Haina Majina? Mbona Mitaa ya Dom HQ inasomeka kama hivi? ππMitaa tushapost sana humu ngoja turudie hiyo mitaa yakawaida sana
Tatizo hujui una fikiri ni jengo moja hilo?? Mkiambiwa muwe mnatembea mnashubaza shingo eti una IQ kubwa ngoja nikutoe ushamba hapo kuna majengo mawili tofauti kabisa, Gold crest ni hotel ya mtu binafsi na pia ana hotel nyingne Arusha nayo inaitwa Gold crest, ila mmiliki katangulia mbele za haki mwaka juzi, Pssf ni jengo jingine kabisa na wala halihusiani na wala halijagusana na Gold crest sema yapo yamekaribiana tu, shenzi muwe mnatembeaHoteli ya Gold Crest ipo jengo gani...!!?
Wakati hii mitaa inapostiwa naona ulikuwa bado Lujewa, halafu bado unataka ulinganishe na hilo vumbi lako.Hivi Kwa nini huko Kijijini kwenu Mwanza hakunaga real estates company?
Mitaa ya Dom HQ ππ
View: https://www.instagram.com/p/DApu_JDOtiw/?igsh=MW53cmd3M2plNTlobg==
Rudia post za Nyuma hukoπ€£π€£π€£π€£ Mitaa gani? Haina Majina? Mbona Mitaa ya Dom HQ inasomeka kama hivi? ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DALAB_Buk0l/?igsh=MWRlMDg5M29kYzZ5eQ==
Dar yenyewe ukitoa mitaa ya Posta,Masaki,Mikocheni,Mbezi Beach,Kawe Beach,Msasani,Oysterbay,Mikocheni kwingine kulikobaki mitaa mingi imepangwa ovyovyo huwezi kulinganisha na mitaa ya DomJiji pekee linaizidi Dodoma ni Dar na ni upande wa maghorofa ya Kariakoo na Posta,but after 30 years to come Dar utapitwana Dodoma.
Kumbuka kuwa 3/4 ya maghorofa yalipo Posta ni mali ya Serikali.Huwezi shindana na mahali ambapo Fedha zinaanzia kutoka
Jifunze ku post vizuri unatuumiza machoWakati hii mitaa inapostiwa naona ulikuwa bado Lujewa.
Rudia post za Nyuma huko
Njegengwa,msikilize mtangazaji hapo Utajua hujui ππTatizo hujui una fikiri ni jengo moja hilo?? Mkiambiwa muwe mnatembea mnashubaza shingo eti una IQ kubwa ngoja nikutoe ushamba hapo kuna majengo mawili tofauti kabisa, Gold crest ni hotel ya mtu binafsi na pia ana hotel nyingne Arusha nayo inaitwa Gold crest, ila mmiliki katangulia mbele za haki mwaka juzi, Pssf ni jengo jingine kabisa na wala halihusiani na wala halijagusana na Gold crest sema yapo yamekaribiana tu, shenzi muwe mnatembea
Itabidi nitafute kiwanja Dom nisijue pishana na fursa.Dar yenyewe ukitoa mitaa ya Posta,Masaki,Mikocheni,Mbezi Beach,Kawe Beach,Msasani,Oysterbay,Mikocheni kwingine kulikobaki mitaa mingi imepangwa ovyovyo huwezi kulinganisha na mitaa ya Dom
Hii ni conclusion haswaa tatizo humu hawa jamaa wanaleta ushabiki maandazi na kujifariji picha.π Kilasiku ninawaambia Mwanza wanachozidi Dom ni population tu vigezo vingine vya kupima ubora wa mji hawafiki hata robo.Mimi ni mkazi wa Mwanza,Mwanza inazidiwa na Arusha ,Mwanza kinachoisaidia ni population.Mwanza & Arusha zote zimisha pitwa na Dodoma.
Ahaa kwahiyo sasa unakubaliana na hojayangu ya msingi kwamba Mwanza hakuna hoteli yoyote yenye ukubwa wa square meters kama St Gaspar Dom na capacity ya parking zaidi ya magari 1000 kwa wakati mmoja., Pssf ni jengo jingine kabisa na wala halihusiani na wala halijagusana na Gold crest sema yapo yamekaribiana tu, shenzi muwe mnatembea