Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mimi ni mkazi wa Mwanza,Mwanza inazidiwa na Arusha ,Mwanza kinachoisaidia ni population.Mwanza & Arusha zote zimisha pitwa na Dodoma.
Wewe unaongea ukweli ambao wenzako wanakaza shingo Hadi wafe na tai 😆😆😆😆

Bahati mbaya Mwanza imepigwa na Dodoma na Arusha pia ,Mwanza wanalingia watu maskini kitu ambacho hakiwasaidii
 
Wa
Wakati unapost idadi ya maghorofa ya udom kumbe yalikuwa CBD?
Kwani Udom ipo Mpwapwa au Kondoa😀😀. Unachekesha sana yaani unaleta miradi ya Sengerema na Misungwi unalazimisha iwe ya Mwanza Jiji. Huna tofauti na yule mshamba mwenzako aliyekuja kupost picha za majengo ya Chuo Cha Michezo Malya Kwimba alafu anajisifu eti Mwanza imeizidi Dom vyuo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hoteli ya Gold Crest ipo jengo gani...!!?
Tatizo hujui una fikiri ni jengo moja hilo?? Mkiambiwa muwe mnatembea mnashubaza shingo eti una IQ kubwa ngoja nikutoe ushamba hapo kuna majengo mawili tofauti kabisa, Gold crest ni hotel ya mtu binafsi na pia ana hotel nyingne Arusha nayo inaitwa Gold crest, ila mmiliki katangulia mbele za haki mwaka juzi, Pssf ni jengo jingine kabisa na wala halihusiani na wala halijagusana na Gold crest sema yapo yamekaribiana tu, shenzi muwe mnatembea
 
Attachments

  • 1668256836975-01.jpeg
    1668256836975-01.jpeg
    1.3 MB · Views: 2
  • 1668256883036-01.jpeg
    1668256883036-01.jpeg
    729.7 KB · Views: 3
Jiji pekee linaizidi Dodoma ni Dar na ni upande wa maghorofa ya Kariakoo na Posta,but after 30 years to come Dar utapitwana Dodoma.
Kumbuka kuwa 3/4 ya maghorofa yalipo Posta ni mali ya Serikali.Huwezi shindana na mahali ambapo Fedha zinaanzia kutoka
Dar yenyewe ukitoa mitaa ya Posta,Masaki,Mikocheni,Mbezi Beach,Kawe Beach,Msasani,Oysterbay,Mikocheni kwingine kulikobaki mitaa mingi imepangwa ovyovyo huwezi kulinganisha na mitaa ya Dom
 
Rudia post za Nyuma huko
Tatizo hujui una fikiri ni jengo moja hilo?? Mkiambiwa muwe mnatembea mnashubaza shingo eti una IQ kubwa ngoja nikutoe ushamba hapo kuna majengo mawili tofauti kabisa, Gold crest ni hotel ya mtu binafsi na pia ana hotel nyingne Arusha nayo inaitwa Gold crest, ila mmiliki katangulia mbele za haki mwaka juzi, Pssf ni jengo jingine kabisa na wala halihusiani na wala halijagusana na Gold crest sema yapo yamekaribiana tu, shenzi muwe mnatembea
Njegengwa,msikilize mtangazaji hapo Utajua hujui 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DAIaFwaOpuQ/?igsh=bzI4MTdkZDdjbHAy
 
Dar yenyewe ukitoa mitaa ya Posta,Masaki,Mikocheni,Mbezi Beach,Kawe Beach,Msasani,Oysterbay,Mikocheni kwingine kulikobaki mitaa mingi imepangwa ovyovyo huwezi kulinganisha na mitaa ya Dom
Itabidi nitafute kiwanja Dom nisijue pishana na fursa.

By 2035 kiwanja Cha mil.5-8 kinaweza kuja kuuzwa over 50mln
 
Mimi ni mkazi wa Mwanza,Mwanza inazidiwa na Arusha ,Mwanza kinachoisaidia ni population.Mwanza & Arusha zote zimisha pitwa na Dodoma.
Hii ni conclusion haswaa tatizo humu hawa jamaa wanaleta ushabiki maandazi na kujifariji picha.😀 Kilasiku ninawaambia Mwanza wanachozidi Dom ni population tu vigezo vingine vya kupima ubora wa mji hawafiki hata robo.
 
, Pssf ni jengo jingine kabisa na wala halihusiani na wala halijagusana na Gold crest sema yapo yamekaribiana tu, shenzi muwe mnatembea
Ahaa kwahiyo sasa unakubaliana na hojayangu ya msingi kwamba Mwanza hakuna hoteli yoyote yenye ukubwa wa square meters kama St Gaspar Dom na capacity ya parking zaidi ya magari 1000 kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom