Feke b kidume
Senior Member
- Sep 13, 2024
- 138
- 73
Maskini unaaibisha nchi Dodoma hii au Kuna Dodoma nyingine Burundi huko ....morogoro yenyewe nzuri kuliko hiyo Dodoma ni uchafu ..Dar hii ambayo mie ndo nipo muda huu ni kuikosea heshima kulinganisha na ukameni a.k.a jangwani village unatia huruma sana 🤣🤣🤣🤣 Mwanza ni jiji na ndo jiji nataka niweke makaoJiji pekee linaizidi Dodoma ni Dar na ni upande wa maghorofa ya Kariakoo na Posta,but after 30 years to come Dar utapitwana Dodoma.
Kumbuka kuwa 3/4 ya maghorofa yalipo Posta ni mali ya Serikali.Huwezi shindana na mahali ambapo Fedha zinaanzia kutoka
Nini hiki jamani mnatia huruma watu wa Dodoma😭😭😭😭😭aibu naiona miminini hiki🤣🤣
linganisha na miradi ya wenzenu Dom NHC👇👇View attachment 3129153
Mnatia huruma.... mwanza sio level zenu ila kwa kuwa mnataka kujifariji ..Wana vile vi gesti gesti vilivyobanana hapo CBD ndio wanaita Hotel 😆😆
Typical uswazi mentality 😁😁
Nje ya hapo Kuna hiki 👇Nje ya hapo CBD kuna zile dream houses zenu 😆😆
Ukitaka ugomvi na Mwanza waambie walete picha za Mitaa wanakoishi 😂😂Mnatia huruma.... mwanza sio level zenu ila kwa kuwa mnataka kujifariji ..
Tuendelee basi 👇
Jengeni kwanza skyscraper.. yenye mita angalau 90 ndipo mwanze kujifananisha View attachment 3129508View attachment 3129510
Miti Iko wapi ..garden zipo wapi . poor environmental planning.Ukitaka ugomvi na watu wa Mwanza is Slum waambie wakupe view za Mitaa Yao 😆😆
Dom HQ 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DA2g6XNOZl3/?igsh=cmhlYXlqdjF2ZTd2
Kwan jina la thread linasemaje .. tengeneza thread ya mitaa ya mwanza vs dodoma uone moto wake ..mbona utaomba majiUkitaka ugomvi na Mwanza waambie walete picha za Mitaa wanakoishi 😂😂
Mumebakia mnajifariji na poor ,narrow and disorganized CBD
😂😂Rudi shule wewe..manispaa ya Songea tu ina 578.3 km² Area Mwanza haizidi hata 200 sq.km kinachoibeba ni population tuAcha kujivika ukazi wa mwanza wakati hata mwanza hupajui eti Arusha mara Dodoma mwanza haiingii ...mwanza jiji tuna halmashauri mbili zinazounda jiji ilemela na nyamagana tafuta nje ya Dar kama Kuna jiji limesambaa kama mwanza unajitekenya halafu unacheka mwenyewe mshamba wewe Toka hapa mbulula 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
White elephantnini hiki🤣🤣
linganisha na miradi ya wenzenu Dom NHC👇👇View attachment 3129153
Vichaka vilivyodumaa.Nikiwaambia leta vitu kama hivi huko Mwanza is Slum itakuwa ugomvi 😆😆👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBQkPAROlOs/?igsh=MWx2MmJuemVqemU3bg==
Kuna mkazi na mwenyeji kwahiyo kwetu sisi ambao shule tulienda kusoma tumekuelewa.Mimi ni mkazi wa Mwanza,Mwanza inazidiwa na Arusha ,Mwanza kinachoisaidia ni population.Mwanza & Arusha zote zimisha pitwa na Dodoma.
Jengo la Makao Makuu ya Mahakama Tanzania lina ukubwa wa mita za mraba 60,000 na ni jengo la sita kwa ukubwa duniani kwa makao makuu ya MahakamaNini hiki jamani mnatia huruma watu wa Dodoma😭😭😭😭😭aibu naiona mimi
Eneo Lina vijumba vinne na vichaka, watu wanahangaika kupatafutia wateja wewe unaona kwako ni eneo la kutamba nalo. Hapo Kuna Nini sasa zaidi ya ujumbe wa dalali?.🤣🤣🤣🤣 Mitaa gani? Haina Majina? Mbona Mitaa ya Dom HQ inasomeka kama hivi? 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DALAB_Buk0l/?igsh=MWRlMDg5M29kYzZ5eQ==
Kishiri mwanza 🤣🤣🤣🤣Jifunze ku post vizuri unatuumiza macho View attachment 3129190
Barabara za lami ziko wapi? Mbona ni uswazi mtupu? Yaani mumezidiwa Hadi na Magorofani au Iwambi ya Mbeya 😆😆
Huo mtaa wenu wa matajiri hauna tofauti na hapa 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAIDRkdIjVN/?igsh=NjI2NHM2cm1oM3g3
Nyumba zote ni maghorofa tu na zenye viwango japo ni mlimani lakini hakuna vijumba na mabanda yasiyopangiliwa kamavile vya mlimani Mwanza Mabatini,Igogo 😂😂Hapo Kuna Nini sasa
Utawakimbiza mkuu nenda nao taratibu.Miti Iko wapi ..garden zipo wapi . poor environmental planning.
Halafu mnajiifa planned city ..
Oneni wenzenu View attachment 3129515
DwarfismJengo la Makao Makuu ya Mahakama Tanzania lina ukubwa wa mita za mraba 60,000 na ni jengo la sita kwa ukubwa duniani kwa makao makuu ya MahakamaView attachment 3129570
😀😀Unachekesha sana wewe ..tangu lini miradi ya NHC Dodoma ikawa white elephant projects!?White elephant
bado hujasema😂😂👇👇Dwarfism
Bado hujasema😀😀Unachekesha sana wewe ..tangu lini miradi ya NHC Dodoma ikawa white elephant projects!?
NHC sasahivi wanaendelea na miradi mingine mingi hadi Chamwino huko nje ya Dom. Ukijumlisha na miradi iliyokamilika ya TBA, Watumishi Housing, private real estates Dom ni level nyingine kwa Mwanza.