Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Magufuli city bado inajitafuta usichanyikiwe na hivyo vighorofa saba 🤗🤗🤗angalia hapo mwanza wewe unaona hayo maghorofa yanahesabika 🤣🤣🤣 Mwanza CBD ni Kariakoo ya pili kwa hapa Tz
Ila Mwanza mnajua sana kujifariji eti maghorofa saba😂😂....unajua idadi ya wizara zote Tanzania kweli🤣🤣🤣
 
Unaleta story hapa 🤗🤗🤗weka picha
Yaani unataka tubishane picha kwa picha hutaki facts sio😀😀.Hata mtoto wa darasa la sita aliyesoma somo la Uraia /Civics anajua idadi ya wizara zote zaTanzania zilizopo Magufuli City
 
Duuh! wanaobishana na wewe ni wavumilivu sana 🤔🤔
 
Yaani unataka tubishane picha kwa picha hutaki facts sio😀😀.Hata mtoto wa darasa la sita aliyesoma somo la Uraia /Civics anajua idadi ya wizara zote zaTanzania zilizopo Magufuli City
Facts zipi toa wendawazimu wako hapa, magufuli city Ina maghorofa mangapi mpaka yakuzuzue hivyo. Wewe ni toto jinga sana .
 
Kama hujui hata idadi ya Wizara za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tukusaidiaje sasa ...rudi shule🤣🤣
 
Kuna baraza la mawaziri na mikutano ya kimataifa wewe hata kufikiria huwezi?
Hujajibu swali unazunguka tu...ngoja nikuongezee na fact nyingine 👇👇

Kama hujui hata idadi ya Wizara za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tukusaidiaje sasa ...rudi shule🤣🤣
Tumekwambia Kuna majengo mangapi mpaka sasa, kwani mwanza hakuna maghorofa mapya yanayojengwa usibishe kijinga hatutumii hesabu za makadirio hapa nenda na uhalisia uliopo kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…