ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kuhusu neno CBD usikariri.New CBD in Dar-Masaki 👇👇
Dom HQ, Magufuli City CBD🔥🔥👇👇Uchuro huo unakuwa nani kutupandikizia chuki za kisenge namna hiyo. Fala wewe
Kumbe unatumia cm ya kizamani hivi🤣🤣🤣 kweli we jamaa ni mshamba Samsung ya 2015 kushuka chini aiseee itakua imepasuka pasuka sanaHuwa najibu facts tupu sio michambo👇👇View attachment 3131083View attachment 3131084
Dom HQ, Magufuli City CBD🔥🔥👇👇
View: https://youtu.be/HbQcQj3-wBA?si=z4_rVJLVqR97Sldb
View attachment 3131404View attachment 3131405
Hapo Kuna nini Cha ku rival Magufuli City?Bado sana 👇👇mpaka ifikie hizi level View attachment 3131451View attachment 3131452View attachment 3131453View attachment 3131454
Magufuli city bado inajitafuta usichanyikiwe na hivyo vighorofa saba 🤗🤗🤗angalia hapo mwanza wewe unaona hayo maghorofa yanahesabika 🤣🤣🤣 Mwanza CBD ni Kariakoo ya pili kwa hapa TzHapo Kuna nini Cha ku rival Magufuli City?
Ila Mwanza mnajua sana kujifariji eti maghorofa saba😂😂....unajua idadi ya wizara zote Tanzania kweli🤣🤣🤣Magufuli city bado inajitafuta usichanyikiwe na hivyo vighorofa saba 🤗🤗🤗angalia hapo mwanza wewe unaona hayo maghorofa yanahesabika 🤣🤣🤣 Mwanza CBD ni Kariakoo ya pili kwa hapa Tz
Hapo Kuna nini Cha ku rival Magufuli City?
Unaleta story hapa 🤗🤗🤗weka picha uambatanishe na picha za Mwanza nilizopost hapo 🖕juu na uanze ulinganishi 🤗🤭Ila Mwanza mnajua sana kujifariji eti maghorofa saba😂😂....unajua idadi ya wizara zote Tanzania kweli🤣🤣🤣
🤣🤣🤣eti high profile ....unajua mikutano ya Baraza la Mawaziri hufanyikia wapi....😀😀Mikutano high profile
Yaani unataka tubishane picha kwa picha hutaki facts sio😀😀.Hata mtoto wa darasa la sita aliyesoma somo la Uraia /Civics anajua idadi ya wizara zote zaTanzania zilizopo Magufuli CityUnaleta story hapa 🤗🤗🤗weka picha
Magufuli City Upcoming CBD in Dom HQ👇👇
View: https://youtu.be/HbQcQj3-wBA?si=z4_rVJLVqR97SldbView attachment 3131406View attachment 3131407
My Take: Wewe ni mbumbumbu,video niliyokupa hapo Juu ni Masaki new CBD sijui unatumia kiungo gani kufikiria.Tafakari kabla y kukurupuka.
Duuh! wanaobishana na wewe ni wavumilivu sana 🤔🤔Yaani unataka tubishane picha kwa picha hutaki facts sio😀😀.Hata mtoto wa darasa la sita aliyesoma somo la Uraia /Civics anajua idadi ya wizara zote zaTanzania zilizopo Magufuli City
Kuna baraza la mawaziri na mikutano ya kimataifa wewe hata kufikiria huwezi?Mikutano high profile kama hii ya kimataifa Huwa haifanyiki machakani ..kwenu
View attachment 3131499
Facts zipi toa wendawazimu wako hapa, magufuli city Ina maghorofa mangapi mpaka yakuzuzue hivyo. Wewe ni toto jinga sana .Yaani unataka tubishane picha kwa picha hutaki facts sio😀😀.Hata mtoto wa darasa la sita aliyesoma somo la Uraia /Civics anajua idadi ya wizara zote zaTanzania zilizopo Magufuli City
Kama hujui hata idadi ya Wizara za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tukusaidiaje sasa ...rudi shule🤣🤣Facts zipi toa wendawazimu wako hapa, magufuli city Ina maghorofa mangapi mpaka yakuzuzue hivyo. Wewe ni toto jinga sana .
Hujajibu swali unazunguka tu...ngoja nikuongezee na fact nyingine 👇👇Kuna baraza la mawaziri na mikutano ya kimataifa wewe hata kufikiria huwezi?
Tumekwambia Kuna majengo mangapi mpaka sasa, kwani mwanza hakuna maghorofa mapya yanayojengwa usibishe kijinga hatutumii hesabu za makadirio hapa nenda na uhalisia uliopo kwa sasa.Kama hujui hata idadi ya Wizara za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tukusaidiaje sasa ...rudi shule🤣🤣