Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hakuna kitu hapo we kilaza mwanza inajengwa sana tu kuliko hicho Kijiji cha ukame
 
Umesahau viwonder vya au makao makuu Dodoma 🀣🀣🀣 auumeorodhesha??
Mada ya viwanda nilishafunga mjadala kwa kuleta orodha ya viwanda vikubwa(both uzalishaji na uwingi) .Dom wameipita mbali sana Mwanza na kwa projects za ujenzi wa viwanda zinazoendelea pale NALA INDUSTRIAL PARK pamoja na KIZOTA INDUSTRIAL PARK baada ya miaka 10 ijayo Dom wataanza kushindana na mkoa wa Pwani kwa viwanda. Kitu pekee Mwanza wanaizidi Dom ni viwanda vya samaki tuπŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe usituchanganye umeleta garage na mafundi nguo
Hivi viwanda zaidi ya 400 ulivyosema vipo Mwanza ebu tupe categories zake au fanya ku-mention 1 mpaka 400 tumalize ubishiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hivi viwanda zaidi ya 400 ulivyosema vipo Mwanza ebu tupe categories zake au fanya ku-mention 1 mpaka 400 tumalize ubishiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3281760
Kwasababu unabisha utafikiri unajua kitu kula jeuri yako. Wewe ni msomi mwenye Hana akili. Usipe shida bhana jipambanie.
 
Kwasababu unabisha utafikiri unajua kitu kula jeuri yako. Wewe ni msomi mwenye Hana akili. Usipe shida bhana jipambanie.
Nasubiri u-mention hivyo viwanda zaidi ya 400 ulivyosema vipo Mwanza kuanzia namba 1 mpaka 400 tufunge mjadalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi viwanda zaidi ya 400 ulivyosema vipo Mwanza ebu tupe categories zake au fanya ku-mention 1 mpaka 400 tumalize ubishiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3281760
Kwasababu unabisha utafikiri unajua kitu kula jeuri yako. Wewe ni msomi mwenye Hana akili. Usipe shida bhana jipambanie
Nasubiri u-mention hivyo viwanda zaidi ya 400 ulivyosema vipo Mwanza kuanzia namba 1 mpaka 400 tufunge mjadalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wewe umetuletea mafundi nguo 🀣🀣🀣🀣🀣 unadai viwanda.
 
Kwasababu unabisha utafikiri unajua kitu kula jeuri yako. Wewe ni msomi mwenye Hana akili. Usipe shida bhana jipambanie

Wewe umetuletea mafundi nguo 🀣🀣🀣🀣🀣 unadai viwanda.
Hujajibu swali...acha porojo taja hivyo viwanda zaidi ya 400 ulivyosema vipo Mwanza na categories zake nataka kuanzia namba 1 mpaka 400 tumalize ubishi
 
Ingia we site ya shule ukacheki udambu hizo floor mbili musabe floor tatu tayari mmenuyukwa kuanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…