👇👇inaitwa shule ya "mfano" Tanzania nzima .....elewa neno mfanoShule nyingine tafuta Marist boys secondary school ipo nyakato
Hayo majengo floor tatu ni ujinga tu!
Mfano kwa lipi performance yake iphone?. Shule ya mfano ni maneno tu ya wanasiasa lazima usomi wako uonekanike kwenye kutofautisha maneno ya wanasiasa na uhalisia. Itakuwa shule ya mfano kiserikali na si kwenye shule za taasisi na watu binafsi. Will never be....,..👇👇inaitwa shule ya "mfano" Tanzania nzima .....elewa neno mfano
View: https://youtu.be/B7q2Eeqw5zw?si=79Fbo_Kl-WRDCtH2
Hayo majengo floor tatu ni ujinga tu!
Yatakuja kuwa kama Majengo ya Wizara hapa Posta Dar hayana maana na muonekano mbovu tu!
Kwa hiyo Hako majengo kamoja ndio kelele zote hizo?
Nenda kwenye web yake mkuu hiyo sampuli tu jengo la floor tatu vs floor mbili halafu mnaema ya mfano kwa lipi. Tupe performance yake tujadili according to kile inakitoa. Huwezi kusema ya mfano bila kufanya comparisonKwa hiyo Hako majengo kamoja ndio kelele zote hizo?
Harafu Ile ni government school sio private
Ndo mseme itakuwa shule ya mfano kwa shule za serikaliKwa hiyo Hako majengo kamoja ndio kelele zote hizo?
Harafu Ile ni government school sio private
Kama chanzo Cha habari hii ni page ya hapa hapa jf Bado sijakubaliana na wewe. Maana hata wewe unaweza kuanzisha Uzi wowote vile akili inakutuma na wachache wakakuamini
Hivi umewahi kufika Dom kweli.Vp maghorofa yote ya City Centre,mji mpya,one way,st John's, kilimani,miyuji proper,ilazo,Area A ,kisasa,medeli east ni ya Serikali eti....🤣🤣🤣🤣View attachment 3282016raia wa mwanza wanauchapa wa namna hii huku Dodoma wanafurahia majengo ghorofa tatu ya serikali
Umesahau na vijumba vya Mabatini kule juu mlimani...😂😂.Mwanza wakajifunze maana ya mipangomiji Dodoma. Jiji la Dodoma pia limezungukwa na milima mfano kwa waziri mkuu,njedengwa,gereza la isanga,ntyuka jeshini,mkonze barabara ya kwenda iringa n.k lakini huwezi kukuta uchafu wa kujenga vijumba ovyoovyo kama ilivyo kwa Mwanza mabatini👇👇View attachment 3282026View attachment 3282027View attachment 3282028View attachment 3282029tukiacha blah blah nyingi tutaelewana mapema mno. Baadhi tu ya vijisehemu vya Capri point
Yamefanyaje?.Hivi umewahi kufika Dom kweli.Vp maghorofa yote ya City Centre,mji mpya,one way,st John's, kilimani,miyuji proper,ilazo,Area A ,kisasa,medeli east ni ya Serikali eti....🤣🤣🤣🤣
Hizo ni bati na tofali za block, cheki hapa down masikini wa dodoma na nyumba zao za kisasaUmesahau na vijumba vya Mabatini kule juu mlimani...😂😂.Mwanza wakajifunze maana ya mipangomiji Dodoma. Jiji la Dodoma pia limezungukwa na milima mfano kwa waziri mkuu,njedengwa,gereza la isanga,ntyuka jeshini,mkonze barabara ya kwenda iringa n.k lakini huwezi kukuta uchafu wa kujenga vijumba ovyoovyo kama ilivyo kwa Mwanza mabatini👇👇View attachment 3282043