Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

GDP sio pesa.Kama GDP ni worthwhile basi Mbeya imewazidi wote hao.kianzia kina Arusha,Dodoma etc lakini vipi kwenye macho Yako ndivyo ilivyo? 😁😁

Mwanza msijifariji na GDP maana sio pesa.

Hakuna kitu Mwanza inaizidi Dom
Wewe pambana na siasa achana na taaluma za watu.Nikiendelee kukuelimisha itakuwa lugha gongana.Kwanza maana ya GDP na GDP per Capita ujui.Hata pesa unayosema uelewi ni nini.
 
-Dodoma ina miundombinu ya uchumi hipi kama uchumi inafanya vibaya kuliko majiji yote hadi na mkoa wa Morogoro wako vizuri zaidi.
-Mji una ukubwa gani wakani ina jiji tu hakuna hata manispaa pacha.
-Dodoma shughuli gani za uchumi kama uchumi inazidiwa na Morogoro
-Uzuri gani wa mji jangwani,kupata beach nzuri kama Mwanza subiri mjengewe bwawa la Falukwa nadhani na speed boat 🚀 mtawekewa sababu mnapenda sana sifa.
-Huduma gani za kijamii kwa maji ya chumvi na visima kila mahali.
 
Hata mimi kanishangaza!! Eti shughuli za kiuchumi ibaizd mwanza?? Ukubwa wa mhi inaizd mwanza? Huduma za kijamii inaizdi mwanza? Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
 
Hata mimi kanishangaza!! Eti shughuli za kiuchumi ibaizd mwanza?? Ukubwa wa mhi inaizd mwanza? Huduma za kijamii inaizdi mwanza? Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
Huyu ni kichaa sio bure🀣🀣anakwambia GDP sio pesa labda yeye anadhani GDP ni mav!.Tukiacha ushabiki MBEYA inawazidi kiuchumi Dodoma na Arusha mbali sema tu Mbeya ni Simba mwenda pole na serikali anaichulia Mbeya kama Shamba la bibi la kuchuma na kwenda kuwalisha watoto pendwa kama Dodoma na Arusha.
 
Anasikitisha sana. Atakuwa ni mgogo huyo si bure, dodoma huwez kuilinganisha na mwanza kwenye categories alizotaja, bado sana. Labda tulinganishe kuwa dom inaizdi mwanza kwa ukame
 
Wewe pambana na siasa achana na taaluma za watu.Nikiendelee kukuelimisha itakuwa lugha gongana.Kwanza maana ya GDP na GDP per Capita ujui.Hata pesa unayosema uelewi ni nini.
Huna unachoweza kunirlimisha , Uchumi ndio Taaluma yangu.

GDP sio pesa,daraja la JPM halijajengwa Kwa GDP Bali pesa.
 
Ona huyu,kwamba Dodoma inafanya vibaya kwenye Uchumi kuliko Majiji yote?

Haya naomba Mapato ya Jiji la Mwanzplus Ilemela tulinishe na Dom.
 
Ona huyu,kwamba Dodoma inafanya vibaya kwenye Uchumi kuliko Majiji yote?

Haya naomba Mapato ya Jiji la Mwanzplus Ilemela tulinishe na Dom.
Mzee wa kuforward plan za nhc na serikali kwa ujumla zinazotarajiwa kufanywa hapo Dom
 
Data gani unazitaka? Jengewa na serikali wakimaliza plan yao imestop maana hakuna biashara inasimama huko labda guest za wageni wa kuhitaji huduma za kiserikali
Leta hapa data zinazoonesha Mapato ya Jiji la Mwanza plus Ilemela tulinganishe na Dom HQ nicheke
 
Leta hapa data zinazoonesha Mapato ya Jiji la Mwanza plus Ilemela tulinganishe na Dom HQ nicheke
Nimekuuliza mapato yanayotokana na uzalishaji wa ndani ni nini??Wewe unabaki kurukaruka tu wala hujui unaongelea nini.Unataka data gani kama pato la mkoa wa Morogoro ni Zaidi ya Dodoma.While dodoma ndo jiji masikini kuliko yote nchi hii
 
Anataka yale ya mikopo ya nchi kutoka nje yanayosainiwa pale dodoma na kubakia kwenye ujenz kisha tra kupata % yake.
 
Leta hapa data zinazoonesha Mapato ya Jiji la Mwanza plus Ilemela tulinganishe na Dom HQ nicheke
Huna source ya mapato, usiudanganye umma. Kwa sasa Dom inakuwa promoted kuvutia wawekezaji tu wajue pesa ipo huki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…