Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma hakuna uwekezaji wa majengo binafsi yote ni ya serikali.

Alisikika chiba mmja kutoka Kanda ya washamba πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mwanza kwa sasa inaweza ikawa ya tatu kutoka Dar. Dodoma inaweza shika nafasi ya pili.
Lakini ukweli ni kwamba Mwanza imeiacha Arusha parefu sana sana....
Ni hayo tu
Sensa rasmi ya nchi inaonyesha arusha ni mji wa pili kwa majengo mengi ya ghorofa nchini
Bado Arusha ni ya pili kwa mapato mengi ya TRA nchini
Na sasa hivi utalii ndio kwanza unaanza kuchanua
We unaiskia arusha kwenye magazeti braza sio πŸ˜„
Hizi ni video zinaonyesha arusha kwa uchache
 
Hivi ni kweli kabisa kutoka moyoni mwako na akili za kawaida tu Arusha inaizidi Mwanza?? πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20250721-114724.png
    282.1 KB · Views: 17
  • Screenshot_20250721-114657.png
    596.8 KB · Views: 14
Hivi ni kweli kabisa kutoka moyoni mwako na akili za kawaida tu Arusha inaizidi Mwanza?? πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukitumia moyo utaona haiizidi ila ukitumia akili Arusha Iko mbele sana Kwa Mwanza.

Hivi ukiona hii video unaamini hapa ni Arusha au Ulaya? Kuna Mwanza ya hivi? πŸ‘‡πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Unataka kuniambia uwekezaji wa mahoteli,viwanda,media,vyuo vikuu,shopping malls,mabenki,biashara,makampuni,mabasi n.k ni serikali au private...!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivyo vitu ulivyotaja Mwanza vilikuwwpo toka miaka ya 1980
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…