Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mjumbe hauwawi 😂😂
 
Huwezi pata kiwanja cha bilioni 4 Dodoma city center
Sio Kwa sababu ya demand Bali ni Kwa sababu hakuna Ardhi Kila sehemu ni Mawe na maji ndio maana hakuna viwanda vinavyojengwa huko.

Hali hii ndio inasababisha Mwanza kidumaa,Inaelekea njia ya Moshi.
 
Karibu tena Mwanza uhesabu maghorofa marefu ya Mwanza ya sasa na Arusha then ulete majibu humu, acheni porojo za kurithishana maneno.
Una miaka mingapi ?
Mbona mnafanya ulinganifu wa kitoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…