ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Dom Iko Juu ya Mwanza ππWeka mapato ya TRA hapa acha ujinga
Hizi porojo ni sawa na vituko vya futuhi.
Miaka ya hivi karibuni Viwanda vingi vimejengwa Dodoma ila sijawahi ona kiwanda kipya huko Mwanza ππ
Huyu mwandishi wa habari hii ni muhuni mmoja tu, et mikoa ya Shinyanga na kahama πππ tangu lini Kahama imekuwa mkoa!?Madini yapo huku you Moroni ππView attachment 3434547View attachment 3434548
Miaka ya hivi karibuni Viwanda vingi vimejengwa Dodoma ila sijawahi ona kiwanda kipya huko Mwanza ππ
Uwekezaji wa maduka sijui office space za retails havina far reaching effects kwenye Uchumi.View attachment 3435686
Hakuna viwanja vipya vinajengwa ila trilioni 1.5 zimewekezwa
Akili hauna au unajitia uchizi, hayo ndio mapato ya TRA, yaani kuvuka lengo ndio mapato ya TRA.
Hata singida wana viwanda vya alzeti acha ushamba.
Watapita kama wametolewa macho.View attachment 3435686
Hakuna viwanja vipya vinajengwa ila trilioni 1.5 zimewekezwa
Unasema huku unajicheka au unamcheka yule fala wa dodoma.Dom Iko Juu ya Mwanza ππ
Wapi wameandika office space investmentUwekezaji wa maduka sijui office space za retails havina far reaching effects kwenye Uchumi.
Kodi inayolipa kiwanda kimoja tuu Cha Intracom inaweza meza retail shops hata 500.
So don't be obsessed na office space investments hazinaga maana sana kiuchumi.
Tumia akili uwekezaji mwingi hapo ni wa majengo ya biasharaWapi wameandika office space investment
Kusoma hujui hata picha huoni...unaambiwa hicho ni kiwanda cha pili kwa ukubwa Afrika wewe unalinganisha na SingidaππHata singida wana viwanda vya alzeti acha ushamba.
Unasema huku unajicheka au unamcheka yule fala wa dodoma.
Kiwanda cha pili kwenye Instagram.Kusoma hujui hata picha huoni...unaambiwa hicho ni kiwanda cha pili kwa ukubwa Afrika wewe unalinganisha na Singidaππ
Subiri waje kukwambia eti Dom hakuna kilimo,hakuna mvua ni jangwa tupuππ....Cha kushangaza sasa zao moja tu la Zabibu linalisha Tanzania nzima hadi nchi za jirani ukienda Nairobi Zabibu zote zinazouzwa mtaani zinatoka Dodoma
Huku wadau wanajenga wenyewe bila kelele za mbuzi kama hizi.
Wewe MEMKWA huwa unajitoa ufahamu sometimes aisee ....unatupa kazi ya ziada kukupatia maarifa .Akili hauna au unajitia uchizi, hayo ndio mapato ya TRA, yaani kuvuka lengo ndio mapato ya TRA.
Vp Wadau huko ndio wamejenga JPM kigongo-busisi daraja, soko kuu ,mradi wa meli mv mwanza,upanuzi wa hospitali ya sekou toure, mradi wa maji butimba n.k π€£π€£π€£Huku wadau wanajenga wenyewe bila kelele za mbuzi kama hizi.