Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mwanza ndiyo Jiji kubwa Tanzania ambalo halijaendelea kwa kutegemea miradi ya serikali. Jiji la watu.
La pili ni Mbeya.

Mwanza na Mbeya ndiyo majiji wanaume wapiganaji yasiyoendelezwa na baraza la Mawaziri.
Kwamba stand zote 2 sio miradi ya serikali? Masoko yote sio miradi ya serikali? Daraja la Kigongo Busisi je?

Tena huko Mwanza kuna miradi kibao ya serikali,Mwanza waache visingizio washapigwa na Dom.

Attachments

  • 3085097-972aeef53bd8e447b54fef7831462e5e.mp4
    8.6 MB
Dom nilikua naichukulia poa kabla sijafika. Aisee pale ni balaa
 
Niletee mtaa wowote kama huu hapo kijijini cha wavuvi cha Mwanza.

Dom street 👇
 
Attachments

  • 3100943-e5971a80e22e0d5b674966d902b23848.mp4
    6.4 MB
Niletee mtaa wowote kama huu hapo kijijini cha wavuvi cha Mwanza.

Dom street 👇Niletee mtaa wowote kama huu hapo kijijini cha wavuvi cha Mwanza.

Dom street 👇
Maskini ndugu yangu kumbe na Mwanza yenyewe hauifahamu vizuri??Basi muulize jirani yako atakwambia Mwanza city nini maana yake nadhani utakuwa na nidhamu kwa jiji la Mwanza.
 
Maskini ndugu yangu kumbe na Mwanza yenyewe hauifahamu vizuri??Basi muulize jirani yako atakwambia Mwanza city nini maana yake nadhani utakuwa na nidhamu kwa jiji la Mwanza.
Leta mtaa unaofanana na huo wa Dom nje ya Mji huko sio kulia Lia bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…