Eti Dodoma. Ulinganishe na Rock City. Duh. Hii picha inasema yote
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Dodoma. Ulinganishe na Rock City. Duh. Hii picha inasema yote
Kwamba stand zote 2 sio miradi ya serikali? Masoko yote sio miradi ya serikali? Daraja la Kigongo Busisi je?Mwanza ndiyo Jiji kubwa Tanzania ambalo halijaendelea kwa kutegemea miradi ya serikali. Jiji la watu.
La pili ni Mbeya.
Mwanza na Mbeya ndiyo majiji wanaume wapiganaji yasiyoendelezwa na baraza la Mawaziri.
Mkifika hapa mnitag,Dom👇Eti Dodoma. Ulinganishe na Rock City. Duh. Hii picha inasema yote
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Leta picha acha porojo zisizo na msingiMwanza Ina makazi binafsi mazuri mara mia ya Dodoma.
Fika Capripoint
Isamilo
Mwananchi
Bwiru
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Tazama hii video ya Dom afu linganisha na huo uswazi uliopost .Hizi ni picha za makazi binafsi ya Capri point MWANZA. wanakoishi matajiri wa Mwanza. Huu ndo mtaa wa Wazito huwezi Kuta hii Dom wa Arusha. Masaki DsM na Mwaka Capri Point.View attachment 2094850View attachment 2094851
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Mwanza yote hii hapa 😆😄Eti Dodoma. Ulinganishe na Rock City. Duh. Hii picha inasema yote
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Dom nilikua naichukulia poa kabla sijafika. Aisee pale ni balaaNajua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after DSM wakati DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD
Hivyo kwa heshima ya Dodoma mpya na ya kisasa ambayo kwa mtizamo wangu binafsi inaichapa Mwanza 3-0 kwenye ukubwa wa City Center (CBD)
Kuanzia majengo mengi ya ghorofa, ukisasa, mpangilio, bustani na round about nzuri, purchasing power (vitu bei ni juu na watu wana-afford) ndiyo maana mabasi makali na ghali mengi uanzia safari zake hapa kuelekea Dar nasiyo vinginevyo.
Kingine Dodoma CBD bado inakuwa kila sekunde mijengo inazidi chepushwa tena project za maana, ila Mwanza CBD haina jipya sana zaidi ya soko linalojengwa pale hamna kingine chakutarajia kwa sasa, kinachoiangusha Dodoma CBD ni ubaya wa soko lake kuu la majengo(ombi langu kwa mamlaka husika walifanyie mpango wa maboresho linafubaza jiji) ila kwingine huko kote ni fire.
CBD ya Dodoma inaichapa mwanza upande wa barabara za lami, private cars na magari ya kifahari,mandhari ya kimjini mjini kama ni mgeni ukiwa mazengo ukajichanganya majengo huko kwa kina vunja bei bila kusahau uhindini n.k wawezadhani uko kariakoo ndogo,
Dodoma CBD ina city vibes ukilinganisha na mwanza CBD.
MADHAIFU:
I. Ukarimu na kauli za kibiashara(customer care) ni "F"
II. Usafi ni "F'' mifereji inanuka vinyesi plus taka zinatupwa tu ovyo na hakuna hatua yeyote inachukuliwa mara mia na halmashauri ya manispaa ya Singida.
III. Upande wa Mahoteli na viwanja nawapa "D" demand bado nikubwa kuliko kilichopo, ukiiondoa Morena ambayo nayo ni yakawaida sana bado hakuna hotel za maana.
IV. Hali ya hewa ya vumbi la kuwasha macho, ukame na unusu jangwa, hata kama umetupia nguo mpya na Kali vipi zinaappear zimefubaa nakupaukiana achilia mbali baridi kali usiku. (Tushirikiane wote kuakikisha Sera ya Dodoma ya kijani inatekelezwa kwa vitendo)
V. Shida ya MAJI hapa usishangae chumba kimoja kikilipiwa 15k na kingine kinachofanana nacho kwa kila kigezo kikilipiwa 30k kumbe kigezo ni kimoja kina maji na kingine hakina. Jamani SERIKALI timizeni majukumu yenu mruhusu jiji hili lifunguke zaidi na likuwe maana kikwazo kikuu ni hiki kabla ya vingine.
But all in all ukiondoa mapungufu hayo machache, mwanza CBD inakalishwa benchi kipindi cha kwanza cha mchezo hata kabla ya kipyenga cha mwamuzi kuamuru game lianze.
TAKE HOME
Ninachoipendea Dodoma; UZALENDO kwani karibia asilimia 95 ya majengo yote, mabango na mapambo CBD lazima neno DODOMA litaappear unlike mwanza na sehemu zingine za Tanzania hii.
Na huo ni mwanzo tuu, miundombinu yote ikiwa functional,,Dom itabaki kushindana na Dar tuu.Dom nilikua naichukulia poa kabla sijafika. Aisee pale ni balaa
Maskini ndugu yangu kumbe na Mwanza yenyewe hauifahamu vizuri??Basi muulize jirani yako atakwambia Mwanza city nini maana yake nadhani utakuwa na nidhamu kwa jiji la Mwanza.Niletee mtaa wowote kama huu hapo kijijini cha wavuvi cha Mwanza.
Dom street 👇Niletee mtaa wowote kama huu hapo kijijini cha wavuvi cha Mwanza.
Dom street 👇
Huyu mwamba angemaliza miaka yake 10 tungekuwa na miji miwili ya maana nchini! Hii vision sio for the faint hearted!Dodoma haina mpinzani katika hili Mwanza tafuta ligi yako, nimeamua pia niwaonjeshe kidogo na renders ziwatoe udenda View attachment 2086762View attachment 2086767View attachment 2086768View attachment 2086769View attachment 2086770View attachment 2086771View attachment 2086772View attachment 2086773View attachment 2086774View attachment 2086775View attachment 2086776View attachment 2086778View attachment 2086783View attachment 2086784View attachment 2086786
Leta mtaa unaofanana na huo wa Dom nje ya Mji huko sio kulia Lia bila sababu.Maskini ndugu yangu kumbe na Mwanza yenyewe hauifahamu vizuri??Basi muulize jirani yako atakwambia Mwanza city nini maana yake nadhani utakuwa na nidhamu kwa jiji la Mwanza.
Siku zote mtu timamu akikimbizana na mwehu yeye ndo unekana mwehu wewe endelee kuangaika mwenyewe😂😂😂Leta mtaa unaofanana na huo wa Dom nje ya Mji huko sio kulia Lia bila sababu.
Unajichekesha kwa kujifariji ilhali unajua Sana tuu kwamba huko Mwanza hakuna mtaa wowote wa maana kushindana na Dom.👇Siku zote mtu timamu akikimbizana na mwehu yeye ndo unekana mwehu wewe endelee kuangaika mwenyewe😂😂😂
Nakushauri nenda kwenye thread ya Mwanza city vs Kisumu city ndo utaelewa Mwanza nini na utaona inavyowatoa jasho wakenya.Inapambana na mombasa na kisumu kiwemo.Leta mtaa unaofanana na huo wa Dom nje ya Mji huko sio kulia Lia bila sababu.