mwakalingajamson
Member
- Jun 21, 2025
- 7
- 6
Mwanza ipi unaizungumzia mangi Mushi ambayo unataka linganisha na manispaa ya Dodoma iliyopewa hadhi ya kuwa Jiji kwa vile ndiyo makao makuu ya nchi?,hebu lala uote tena mangi MushiNajua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after DSM wakati DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD
Hivyo kwa heshima ya Dodoma mpya na ya kisasa ambayo kwa mtizamo wangu binafsi inaichapa Mwanza 3-0 kwenye ukubwa wa City Center (CBD)
Kuanzia majengo mengi ya ghorofa, ukisasa, mpangilio, bustani na round about nzuri, purchasing power (vitu bei ni juu na watu wana-afford) ndiyo maana mabasi makali na ghali mengi uanzia safari zake hapa kuelekea Dar nasiyo vinginevyo.
Kingine Dodoma CBD bado inakuwa kila sekunde mijengo inazidi chepushwa tena project za maana, ila Mwanza CBD haina jipya sana zaidi ya soko linalojengwa pale hamna kingine chakutarajia kwa sasa, kinachoiangusha Dodoma CBD ni ubaya wa soko lake kuu la majengo(ombi langu kwa mamlaka husika walifanyie mpango wa maboresho linafubaza jiji) ila kwingine huko kote ni fire.
CBD ya Dodoma inaichapa mwanza upande wa barabara za lami, private cars na magari ya kifahari,mandhari ya kimjini mjini kama ni mgeni ukiwa mazengo ukajichanganya majengo huko kwa kina vunja bei bila kusahau uhindini n.k wawezadhani uko kariakoo ndogo, Dodoma CBD ina city vibes ukilinganisha na mwanza CBD.
MADHAIFU:
I. Ukarimu na kauli za kibiashara(customer care) ni "F"
II. Usafi ni "F'' mifereji inanuka vinyesi plus taka zinatupwa tu ovyo na hakuna hatua yeyote inachukuliwa mara mia na halmashauri ya manispaa ya Singida.
III. Upande wa Mahoteli na viwanja nawapa "D" demand bado nikubwa kuliko kilichopo, ukiiondoa Morena ambayo nayo ni yakawaida sana bado hakuna hotel za maana.
IV. Hali ya hewa ya vumbi la kuwasha macho, ukame na unusu jangwa, hata kama umetupia nguo mpya na Kali vipi zinaappear zimefubaa nakupaukiana achilia mbali baridi kali usiku. (Tushirikiane wote kuakikisha Sera ya Dodoma ya kijani inatekelezwa kwa vitendo)
V. Shida ya MAJI hapa usishangae chumba kimoja kikilipiwa 15k na kingine kinachofanana nacho kwa kila kigezo kikilipiwa 30k kumbe kigezo ni kimoja kina maji na kingine hakina. Jamani SERIKALI timizeni majukumu yenu mruhusu jiji hili lifunguke zaidi na likuwe maana kikwazo kikuu ni hiki kabla ya vingine.
But all in all ukiondoa mapungufu hayo machache, mwanza CBD inakalishwa benchi kipindi cha kwanza cha mchezo hata kabla ya kipyenga cha mwamuzi kuamuru game lianze.
TAKE HOME
Ninachoipendea Dodoma; UZALENDO kwani karibia asilimia 95 ya majengo yote, mabango na mapambo CBD lazima neno DODOMA litaappear unlike mwanza na sehemu zingine za Tanzania hii.
Mwanza hamna upepo na vumbi kama Dodoma, Nimewahurumia sana watumishi waliohamishiwa Dodoma itawachukua muda sana kuzoea hiyo hali ya jangwa.Wapi ambako hakuna upepo na Vumbi?
Mbona nyie wa Mwanza mnaishi na harufu za uozo wa madampo,shombo la samaki na slums? Mnaishije Sasa?
Mzee pambaneni kwanza serikali iwaletee maji kutoka ziwa Victoria, Pili himizeni upandaji wa miti tofauti na hapo hizo ring road hazitakuwa na maana yoyote kwenye hili jangwa lenu.Ebu tutajie barabara za vumbi Dodoma alafu tulinganishe na za Mwanza ...Idadi ya km zote za barabara moja tu ya Dom Ring Road ni sawa na idadi ya km zote za lami kwa Mwanza City Centre π€£π€£.
Kwa mujibu wa TANROADS Mwanza kwa sasa haifiki hata asilimia 30 ya ubora wa Dom kwenye mtandao mpana wa barabara za lami, ndiomana kilasiku Mwanza wanalalamika upendeleo wa DomDom.
Area c mgawo upo kama dawaMwanza hamna upepo na vumbi kama Dodoma, Nimewahurumia sana watumishi waliohamishiwa Dodoma itawachukua muda sana kuzoea hiyo hali ya jangwa.
Maji pia ni changamoto sehemu walau zinazopata maji ni Nzuguni na Area C the rest ni mgao huko nkuhugu ndiyo walishasahau hata ratiba ya mgao wa maji ikoje?, halafu maji yenyewe yanachumvi ni hatari.
aione ChoiceVariable π Dodoma bado sana.Area c mgawo upo kama dawa
Hujajibu swali...peleka facebook hizo porojo zakoMzee pambaneni kwanza serikali iwaletee maji kutoka ziwa Victoria, Pili himizeni upandaji wa miti tofauti na hapo hizo ring road hazitakuwa na maana yoyote kwenye hili jangwa lenu.
Nitajie mji wowote Tanzania ambao maji yanatoka 24/7 mitaa yote mwakamzima...Mwanza yenyewe imezungukwa na Ziwa Victoria ila changamoto ya maji ni miaka nenda rudiπ€£π€£ ππArea c mgawo upo kama dawa
Kwa kukusaidia tu Mwanza ilipewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000(miaka 25 mpaka sasa) Dodoma yenyewe ilipewa hadhi ya Jiji mwaka 2018(takribani miaka 7)..sasa cha kushangaza Dom wamewazidi Mwanza kilakitu kasoro population tuππMwanza ipi unaizungumzia mangi Mushi ambayo unataka linganisha na manispaa ya Dodoma iliyopewa hadhi ya kuwa Jiji kwa vile ndiyo makao makuu ya nchi?,hebu lala uote tena mangi Mushi
Kwani Mwanza iliyoko ziwani Kuna maji?aione ChoiceVariable π Dodoma bado sana.
Unajitahidi kubadilisha topic kuhamisha magoli...hapa tunaongelea kilimo hatuongelei madini na hata hayo madini kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka GST na Wizara ya Madini mikoa ya Dodoma na Lindi ndio inaongoza Tanzania.
Ngoja nikusaidie tu kukupa maarifa ya bureππ
Utagoogle kila aina ya topics....hapa ni facts tupuππ
Masoko yalikuwa yamefungwa, kwa ujenzi.Bado hujajibu swali unaleta porojo....huko mwanza kwenye matajiri inakuaje tena wanazidiwa na jiji la Dom karibia marambili kwenye mapato na makusanyo yote ya TRA na Halmashauriπππππ
Dodoma yaiburuza tena Dar makusanyo
Baada ya taarifa ya ukusanyaji wa mapato mwaka 2017/18 kuonyesha kwamba Mkoa wa Dodoma uliongoza kukusanya asilimia 170 hadithi imeendelea kuwa ileile baada ya safari hii halmashauri ya manispaa...www.mwananchi.co.tz
Unashangilia maduhuli wakati wagogo wenzako hawajui hatma ya maisha yao ya kesho, hata mlo mmoja kwao ni kitendawili.Utagoogle kila aina ya topics....hapa ni facts tupuππ
Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023
Kutoka kwenye takwimu za Mapato ya Kodi za TRA yaani Regional Tax Statistics za mwaka 2023/2024 zimebainisha Mikoa 13 ambayo imechangia Mapato makubwa ya Kodi Kwa mwaka 2023. Uchambuzi wa awali nilioufanya umebainisha Mikoa 13 ambayo imechangia zaidi Mapato ya Kodi ya kuanzia Bilioni 60 na...www.jamiiforums.com
Takwimu rasmi tunazoweka humu tangu mwaka 2015 Jiji la Dodoma linashika nafasi ya pili kwa mapato ya ndani likitanguliwa na Dar pekee...Vp huko miji mingine yote ya Tanzania masoko yalikua yamefungwa !!?ππMasoko yalikuwa yamefungwa, kwa ujenzi.
Yamefunguliwa kwasasa utaanza kuona tofauti..
Miji mingine ipi,?Takwimu rasmi tunazoweka humu tangu mwaka 2015 Jiji la Dodoma linashika nafasi ya pili kwa mapato ya ndani likitanguliwa na Dar pekee...Vp huko miji mingine yote ya Tanzania masoko yalikua yamefungwa !!?ππ
Si umetoa "excuse" ya eti masoko..vp miaka zaidi ya kumi Dom wanapoongoza Mapato hapo Mwanza ujenzi haujaisha tuππMiji mingine ipi,?
Uzi huu unahusu miji yote?
Acha kufananisha mavumbi town na the rock city ..KOMADodoma City by night... So clean and so safeππ
sio kama Mwanza ikifika usiku vibaka wamejaa mitaa ya Rwagasore,Sahara,Natta, nyuma ya stendi Nyegezi karibu na Daraja usithubutu kukatisha usiku pekeyako ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DNL4aSQMAl_/?igsh=MTZlZWtydTVpZHoxag==
Huna elimu ya uchumi na huna unalolijua kwenye uchumi, kiufupi Dodoma na Simiyu hazina tofauti na rafiki yake singida.Takwimu rasmi tunazoweka humu tangu mwaka 2015 Jiji la Dodoma linashika nafasi ya pili kwa mapato ya ndani likitanguliwa na Dar pekee...Vp huko miji mingine yote ya Tanzania masoko yalikua yamefungwa !!?ππ