The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Porojo za kijifariji πππ,weka picha hapaNakushauri nenda kwenye thread ya Mwanza city vs Kisumu city ndo utaelewa Mwanza nini na utaona inavyowatoa jasho wakenya.Inapambana na mombasa na kisumu kiwemo.
Acha kujitekenya na kucheka mwenye nadhani uelewi nini uchumi wa mkoa kwa taarifa yako Dodoma hata kwenye mikoa 10 yenye pato kubwa haimo.Uchumi wa mkoa unapimwa na GDP sio vimapato vya masoko.Mwanza ina viwanda vikub1.Vya chuma kama Sayona steel na Nyakato steel 2.Vya Vinywaji Coca cola,Pepsi,Tbl,serengeti,mwanza water,acquar rocky,shingha spilit,3.Viwanda vya mabati kama dragon,simba dume 4.Viwanda vya plastic kama kiboko plastic,mwanza plastic na zongii plasts 3.Viwada vya madini na migodi mikubwa ya madini kama nyanzaga (mgodi mkubwa wa pili tanzania baada ya geita),mgodi wa almas mwabuki na misungwi mgodi wa dhahabu,4Viwanda vya samaki na mabondo haviesabiki 5.Viwanda vya magidoro kama malaika 6.Nguo kama Mwatex 7.vya rangi kama corsl paint 7.Vya nyama kama chobo fresh meat sasa anzia hapo kuleta utumbo wakoUnajichekesha kwa kujifariji ilhali unajua Sana tuu kwamba huko Mwanza hakuna mtaa wowote wa maana kushindana na Dom.π
View attachment 2112705
Kama Mkoa wenu upo kwa nini Jiji lenu ni maskini? Mada ya hapa ni ulinganisho wa majiji sio ulinganisho wa Mikoa ,naona unatafuta kichaka cha kujifichia ππ..Acha kujitekenya na kucheka mwenye nadhani uelewi nini uchumi wa mkoa kwa taarifa yako Dodoma hata kwenye mikoa 10 yenye pato kubwa haimo.Uchumi wa mkoa unapimwa na GDP sio vimapato vya masoko.Mwanza ina viwanda vikub1.Vya chuma kama Sayona steel na Nyakato steel 2.Vya Vinywaji Coca cola,Pepsi,Tbl,serengeti,mwanza water,acquar rocky,shingha spilit,3.Viwanda vya mabati kama dragon,simba dume 4.Viwanda vya plastic kama kiboko plastic,mwanza plastic na zongii plasts 3.Viwada vya madini na migodi mikubwa ya madini kama nyanzaga (mgodi mkubwa wa pili tanzania baada ya geita),mgodi wa almas mwabuki na misungwi mgodi wa dhahabu,4Viwanda vya samaki na mabondo haviesabiki 5.Viwanda vya magidoro kama malaika 6.Nguo kama Mwatex 7.vya rangi kama corsl paint 7.Vya nyama kama chobo fresh meat sasa anzia hapo kuleta utumbo wako
View attachment 2113227
View attachment 2113229
Utajiri wa jiji husika unapimwa kwa mapato ya halmashauri? Mbona unakuwa mpumbavu.Kama Mkoa wenu upo kwa nini Jiji lenu ni maskini? Mada ya hapa ni ulinganisho wa majiji sio ulinganisho wa Mikoa ,naona unatafuta kichaka cha kujifichia ππ..
Mapato yavistendi na masoko ndio kiashiria cha uchumi mkubwa?Kama Mkoa wenu upo kwa nini Jiji lenu ni maskini? Mada ya hapa ni ulinganisho wa majiji sio ulinganisho wa Mikoa ,naona unatafuta kichaka cha kujifichia ππ..
Wewe unaonaje? Kati ya Dom na Mwanza wapi kumejaa maskini?Mapato yavistendi na masoko ndio kiashiria cha uchumi mkubwa?
Tueleze wewe unapimwa kwa kutumia mapato gano?Utajiri wa jiji husika unapimwa kwa mapato ya halmashauri? Mbona unakuwa mpumbavu.
Kabishane na wendawazimu wenzako, lkn kaa ukijua Mwanza ni jiji la kibepari mfumo mkubwa wa uchumi umeshikwa na watu binafsi, taasisi na mashirika sasa ukianza kuleta habari zako, et mwanza imezidiwa na dodoma kisa mapato ya halmashauri me nitakuona ww ni mjinga tena husiyejua misingi za uchumi.Wewe unaonaje? Kati ya Dom na Mwanza wapi kumejaa maskini?
Serikali halmashauri itaenda kuchukua mapato kwenye mahoteli ambayo sio yao? hizo kodi huwa zinaenda moja kwa moja TRA, Huko dodoma ata mahotel, viwanja vya starehe vinajengwa na serikali so lazima wakachukue madurufu yao wayapekeke halmashauri.Tueleze wewe unapimwa kwa kutumia mapato gano?
Viazi hamtakaa muishe,hayo hayo mapato ya ndani ndio yanatumika na Halmashauri husika kujiendesha na kufanya miradi ya maendeleo bila kusubiria ruzuku..
Stand ya Dom,hotel nk vyote ni Mapato ya ndani.Nyie vistendi vyenu haviishagi kwa sababu mna tuhela kiduchu twa kudunduliza ππ
Sawa bwana, nyinyi njombe mlijenga soko kwa pesa zenu za ndani hongereni sana.Tueleze wewe unapimwa kwa kutumia mapato gano?
Viazi hamtakaa muishe,hayo hayo mapato ya ndani ndio yanatumika na Halmashauri husika kujiendesha na kufanya miradi ya maendeleo bila kusubiria ruzuku..
Stand ya Dom,hotel nk vyote ni Mapato ya ndani.Nyie vistendi vyenu haviishagi kwa sababu mna tuhela kiduchu twa kudunduliza ππ
Ule ni mradi wa ULGSPSawa bwana, nyinyi njombe mlijenga soko kwa pesa zenu za ndani hongereni sana.
We vipi mbona mgumu kuelewa? Hoteli ya Halmashauri kama kitega uchumi ,TRA Wana Chao na Halmashauri ina fungu lake ..Serikali halmashauri itaenda kuchukua mapato kwenye mahoteli ambayo sio yao? hizo kodi huwa zinaenda moja kwa moja TRA, Huko dodoma ata mahotel, viwanja vya starehe vinajengwa na serikali so lazima wakachukue madurufu yao wayapekeke halmashauri.
Useless comment ya mtu aliyekata tamaa.Pepari njaa ππKabishane na wendawazimu wenzako, lkn kaa ukijua Mwanza ni jiji la kibepari mfumo mkubwa wa uchumi umeshikwa na watu binafsi, taasisi na mashirika sasa ukianza kuleta habari zako, et mwanza imezidiwa na dodoma kisa mapato ya halmashauri me nitakuona ww ni mjinga tena husiyejua misingi za uchumi.
Hivi vigorofa kwa Mwanza vinajengwa na vijana under 45 na vingi ni vituo vya mafuta lakini Dodoma ndo miradi ya serikali na mapambio kila siku.Mwanza kwa sasa inaonewa na kila Mji.Size ya Mwanza ni Mbeya..
Dom City in the making π
View attachment 2118613
View attachment 2118614
View attachment 2118615
View attachment 2118616
View attachment 2118617
View attachment 2118618
View attachment 2118619
View attachment 2118620
View attachment 2118621
View attachment 2118622
Vionyeshe naona unabwata tuu na slums town yako.Ukweli mchungu ni kwamba baada ya Dar ni Dodoma.Hivi vigorofa kwa Mwanza vinajengwa na vijana under 45 na vingi ni vituo vya mafuta lakini Dodoma ndo miradi ya serikali na mapambio kila siku.
Inawauma sana wazee wa ziwani mpaka wanalia kimyakimya wakiona Dodoma inavyozidi watimulia vumbiMwanza kwa sasa inaonewa na kila Mji.Size ya Mwanza ni Mbeya..
Dom City in the making [emoji116]
View attachment 2118613
View attachment 2118614
View attachment 2118615
View attachment 2118616
View attachment 2118617
View attachment 2118618
View attachment 2118619
View attachment 2118620
View attachment 2118621
View attachment 2118622