Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Excuses 🀠🀠🀠🀠,na bado mtaongea yote..

Ligi ya Dom ni Nairobi na sio hiyo takataka ya Mwanza πŸ‘‡

 
Huyu mtu wa njombe huwa kidogo ni dk mbili mbele, wewe mzoee tu ni mtani wetu huyuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usilete utopolo wa kisiasa hapa nimekuambia nitajie viwanda vikubwa vitano vya dodoma ambavyo vipo active, na unitajie kwa majina.
Wewe ni mjinga na umeaibika,ndio hivyo kuna zaidi ya viwanda 600 and it was 2018 kabla ya vya dhahabu,mbolea,nyama,juice nk.

Tafuta excuses nyingine,na bado maji mtaita mmaa
 
Dodoma hii hii iwe bora zaidi ya mwanza![emoji3][emoji3] hii dodoma ambayo ukitembea mwendo wa dakika kumi umepamaliza mjini unaanza kukutana na vituko[emoji16]

Nipo dodoma kwa miaka mingi na mwanza nimekaa miaka michache ila mwanza wako vzuri. ipeni muda dodoma ili kufikia mwanza.
 
Usifananishe new York city na Washington DC, mwanza ina uwezo wa kujiendesha yenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…