Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Unaambiwa ulete viwanda unaleta articles mbona ni Kama we mzee akili yako haifanyi kazi vizuri! Sasa jiulize hivyo viwanda vya hizo bia vinavyotarajiwa kujengwa huko(hatujui lini) Mwanza vimekuwepo kwa muda gani.....taja viwanda acha kutapatapa, viwanda ndo maendeleo na maendeleo ni viwanda
Excuses 🤠🤠🤠🤠,na bado mtaongea yote..

Ligi ya Dom ni Nairobi na sio hiyo takataka ya Mwanza 👇

Screenshot_20220216-214426.png
 
Unaambiwa ulete viwanda unaleta articles mbona ni Kama we mzee akili yako haifanyi kazi vizuri! Sasa jiulize hivyo viwanda vya hizo bia vinavyotarajiwa kujengwa huko(hatujui lini) Mwanza vimekuwepo kwa muda gani.....taja viwanda acha kutapatapa, viwanda ndo maendeleo na maendeleo ni viwanda
Huyu mtu wa njombe huwa kidogo ni dk mbili mbele, wewe mzoee tu ni mtani wetu huyu😂😂😂😂
 
Usilete utopolo wa kisiasa hapa nimekuambia nitajie viwanda vikubwa vitano vya dodoma ambavyo vipo active, na unitajie kwa majina.
Wewe ni mjinga na umeaibika,ndio hivyo kuna zaidi ya viwanda 600 and it was 2018 kabla ya vya dhahabu,mbolea,nyama,juice nk.

Tafuta excuses nyingine,na bado maji mtaita mmaa
 
Dodoma hii hii iwe bora zaidi ya mwanza![emoji3][emoji3] hii dodoma ambayo ukitembea mwendo wa dakika kumi umepamaliza mjini unaanza kukutana na vituko[emoji16]

Nipo dodoma kwa miaka mingi na mwanza nimekaa miaka michache ila mwanza wako vzuri. ipeni muda dodoma ili kufikia mwanza.
 
Usifananishe new York city na Washington DC, mwanza ina uwezo wa kujiendesha yenyew
 
Back
Top Bottom