The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
π¬π¬π¬π¬π¬ Nipe jibuUnaleta assumption
Economically, socially, high end suburbs .Mwanza is strategically positioned So there is more movements of people and goods thus it makes it more superiorIn which aspect ...
I think this language is well understandable ..and there is not a chance for DODOMA to overpass mwanza cityEconomically, socially, high end suburbs .Mwanza is strategically positioned So there is more movements of people and goods thus it makes it more superior
Dodoma bado ina safari ndefu kufikia mwanza, dodoma itakuwa ni mji uliopangwa vizuri, dodoma itaipita mbeya na Tanga ila kwa Arusha na Mwanza bado sana.I think this language is well understandable ..and there is not a chance for DODOMA to overpass mwanza city
Umemaliza brotherDodoma bado ina safari ndefu kufikia mwanza, dodoma itakuwa ni mji uliopangwa vizuri, dodoma itaipita mbeya na Tanga ila kwa Arusha na Mwanza bado sana.
Ukiondoa miradi ya ujenzi wa wizara miradi iliyobaki karibu yote ipo mza tena mingine ni mikubwa kuliko ya Dom.
Soko la mwanza litakuwa kubwa karibu mara 3 ya soko la Ndugai.
Ukiacha hilo mwanza ina masoko mengine makubwa kama soko la samaki kirumba, kirumba pia kutajengwa soko jingine, mkuyuni kutakuwa na soko pia, buzuruga ilipo stendi ya mabasi kutajengwa buzuruga complex.
Mwanza ina stendi 2 za mabasi.
Barabara naona serikali imeanza kuona aibu, city centre to usagara upembuzi tayari hii itakuwa 25km dual carriageway.
City Centre kisesa upembuzi unaendelea almost 20+km njia 4.
Barabara ndogondogo zinajengwa nyingi tu.
Airport, serikali inataka kujenga jengo kubwa sawa na terminal 2 ya Dar hapa mwanza.
SGR inakuja mwanza pia, jengo la stesheni ya mwanza linaweza kuwa kubwa na zuri kwa sababu ya location.
Kwa hoteli Dom bado sana.
Karibu kila chuo Tz kimeshika eneo kubwa mza,
Kwa Leo inatosha
Nakubali blood ...Dodoma bado ina safari ndefu kufikia mwanza, dodoma itakuwa ni mji uliopangwa vizuri, dodoma itaipita mbeya na Tanga ila kwa Arusha na Mwanza bado sana.
Ukiondoa miradi ya ujenzi wa wizara miradi iliyobaki karibu yote ipo mza tena mingine ni mikubwa kuliko ya Dom.
Soko la mwanza litakuwa kubwa karibu mara 3 ya soko la Ndugai.
Ukiacha hilo mwanza ina masoko mengine makubwa kama soko la samaki kirumba, kirumba pia kutajengwa soko jingine, mkuyuni kutakuwa na soko pia, buzuruga ilipo stendi ya mabasi kutajengwa buzuruga complex.
Mwanza ina stendi 2 za mabasi.
Barabara naona serikali imeanza kuona aibu, city centre to usagara upembuzi tayari hii itakuwa 25km dual carriageway.
City Centre kisesa upembuzi unaendelea almost 20+km njia 4.
Barabara ndogondogo zinajengwa nyingi tu.
Airport, serikali inataka kujenga jengo kubwa sawa na terminal 2 ya Dar hapa mwanza.
SGR inakuja mwanza pia, jengo la stesheni ya mwanza linaweza kuwa kubwa na zuri kwa sababu ya location.
Kwa hoteli Dom bado sana.
Karibu kila chuo Tz kimeshika eneo kubwa mza,
Kwa Leo inatosha
Kujifariji ni jambo zuri ππ.Dodoma bado ina safari ndefu kufikia mwanza, dodoma itakuwa ni mji uliopangwa vizuri, dodoma itaipita mbeya na Tanga ila kwa Arusha na Mwanza bado sana.
Ukiondoa miradi ya ujenzi wa wizara miradi iliyobaki karibu yote ipo mza tena mingine ni mikubwa kuliko ya Dom.
Soko la mwanza litakuwa kubwa karibu mara 3 ya soko la Ndugai.
Ukiacha hilo mwanza ina masoko mengine makubwa kama soko la samaki kirumba, kirumba pia kutajengwa soko jingine, mkuyuni kutakuwa na soko pia, buzuruga ilipo stendi ya mabasi kutajengwa buzuruga complex.
Mwanza ina stendi 2 za mabasi.
Barabara naona serikali imeanza kuona aibu, city centre to usagara upembuzi tayari hii itakuwa 25km dual carriageway.
City Centre kisesa upembuzi unaendelea almost 20+km njia 4.
Barabara ndogondogo zinajengwa nyingi tu.
Airport, serikali inataka kujenga jengo kubwa sawa na terminal 2 ya Dar hapa mwanza.
SGR inakuja mwanza pia, jengo la stesheni ya mwanza linaweza kuwa kubwa na zuri kwa sababu ya location.
Kwa hoteli Dom bado sana.
Karibu kila chuo Tz kimeshika eneo kubwa mza,
Kwa Leo inatosha
Nani alikwambia mkoa kuwa na chuo kikuu au kuwa makao makuu ndo kinaufanya kuwa jiji bora.Kama ni hivyo Morogoro na iringa yangekuwa majiji kabla ya Mwanza kwasababu Mwanza hakuna chuo kikuu cha serikali lakini ndo jiji pinzania kwa Dar.Pili kumbuka south africa Pretoria ndo makao makuu lakini haisogezi pua kwa cape town,durban wala johanesburg.Ukweli ni kwamba hata serikali ifanye nini Dodoma itabaki Dodoma na MWANZA itabaki kuwa Mwanza kutokana na factors zilizofanya kuwa jiji na wakuishusha Mwanza bado hajazaliwa hata serikali wakiamua kuitelekeza watu wake wataiendeleza kama miaka yote wanavyofanya wala hawatochoka wala hajawai kuchoka kama hauamini njoo uone mahoteli ya kitalii yanavyojengwa milimani na viwanda vinvyozidi kuongezeka.Mwanza kiwanda cha muhimu ambacho hakipo ni cement tu.Taarifa zinachoma hadi kwenye Moyo π€£π€£..
Kwamba Kwa nini Dodoma tuu na sio Mwanza? π
In addition ,mji unaokuwa kiuchumi lazima uangalie miradi inayosajiliwa kwa mwaka...kwa mujibu NBS .Mwanza ilisajili miradi 20 .. wakati Dodoma ilisajili miradi 15 , Arusha miradi 13 , Mbeya miradi 4Nani alikwambia mkoa kuwa na chuo kikuu au kuwa makao makuu ndo kinaufanya kuwa jiji bora.Kama ni hivyo Morogoro na iringa yangekuwa majiji kabla ya Mwanza kwasababu Mwanza hakuna chuo kikuu cha serikali lakini ndo jiji pinzania kwa Dar.Pili kumbuka south africa Pretoria ndo makao makuu lakini haisogezi pua kwa cape town,durban wala johanesburg.Ukweli ni kwamba hata serikali ifanye nini Dodoma itabaki Dodoma na MWANZA itabaki kuwa Mwanza kutokana na factors zilizofanya kuwa jiji na wakuishusha Mwanza bado hajazaliwa hata serikali wakiamua kuitelekeza watu wake wataiendeleza kama miaka yote wanavyofanya wala hawatochoka wala hajawai kuchoka kama hauamini njoo uone mahoteli ya kitalii yanavyojengwa milimani na viwanda vinvyozidi kuongezeka.Mwanza kiwanda cha muhimu ambacho hakipo ni cement tu.
Mtanyooka tuu kwa Dodoma ..Nani alikwambia mkoa kuwa na chuo kikuu au kuwa makao makuu ndo kinaufanya kuwa jiji bora.Kama ni hivyo Morogoro na iringa yangekuwa majiji kabla ya Mwanza kwasababu Mwanza hakuna chuo kikuu cha serikali lakini ndo jiji pinzania kwa Dar.Pili kumbuka south africa Pretoria ndo makao makuu lakini haisogezi pua kwa cape town,durban wala johanesburg.Ukweli ni kwamba hata serikali ifanye nini Dodoma itabaki Dodoma na MWANZA itabaki kuwa Mwanza kutokana na factors zilizofanya kuwa jiji na wakuishusha Mwanza bado hajazaliwa hata serikali wakiamua kuitelekeza watu wake wataiendeleza kama miaka yote wanavyofanya wala hawatochoka wala hajawai kuchoka kama hauamini njoo uone mahoteli ya kitalii yanavyojengwa milimani na viwanda vinvyozidi kuongezeka.Mwanza kiwanda cha muhimu ambacho hakipo ni cement tu.
Majiji ni Dar na Dom,huko kwingine ni ushagoni..Kila siku huwa nawaambia humu TZ majiji no mawili tu Dar and Mwanza others are affiliated MUNICIPALS
Uko sawa lakini miradi sio tuu ya Uwekezaji wa Biashara kama hii ya NBS ila ni pamoja na miradi ya huduma za serikali..In addition ,mji unaokuwa kiuchumi lazima uangalie miradi inayosajiliwa kwa mwaka...kwa mujibu NBS .Mwanza ilisajili miradi 20 .. wakati Dodoma ilisajili miradi 15 , Arusha miradi 13 , Mbeya miradi 4View attachment 2307178
Inazidiwa na Ihungo hiyo hamna jipya hapoMwanza tuleteeni shule ya mfano ya Serikali kama hii hapa [emoji116]