Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

I think this language is well understandable ..and there is not a chance for DODOMA to overpass mwanza city
Dodoma bado ina safari ndefu kufikia mwanza, dodoma itakuwa ni mji uliopangwa vizuri, dodoma itaipita mbeya na Tanga ila kwa Arusha na Mwanza bado sana.
Ukiondoa miradi ya ujenzi wa wizara miradi iliyobaki karibu yote ipo mza tena mingine ni mikubwa kuliko ya Dom.
Soko la mwanza litakuwa kubwa karibu mara 3 ya soko la Ndugai.
Ukiacha hilo mwanza ina masoko mengine makubwa kama soko la samaki kirumba, kirumba pia kutajengwa soko jingine, mkuyuni kutakuwa na soko pia, buzuruga ilipo stendi ya mabasi kutajengwa buzuruga complex.
Mwanza ina stendi 2 za mabasi.
Barabara naona serikali imeanza kuona aibu, city centre to usagara upembuzi tayari hii itakuwa 25km dual carriageway.
City Centre kisesa upembuzi unaendelea almost 20+km njia 4.
Barabara ndogondogo zinajengwa nyingi tu.
Airport, serikali inataka kujenga jengo kubwa sawa na terminal 2 ya Dar hapa mwanza.
SGR inakuja mwanza pia, jengo la stesheni ya mwanza linaweza kuwa kubwa na zuri kwa sababu ya location.
Kwa hoteli Dom bado sana.
Karibu kila chuo Tz kimeshika eneo kubwa mza,
Kwa Leo inatosha
 
Umemaliza brother
 
Nakubali blood ...
 
Huwezi pata international fair Kama hizi kwenye miji isiyo na potential .. only Mwanza and dar es Salam deserve this credit
IMG_20220725_221110.jpg
 
Dodoma bado ina safari ndefu kufikia mwanza, dodoma itakuwa ni mji uliopangwa vizuri, dodoma itaipita mbeya na Tanga ila kwa Arusha na Mwanza bado sana.
Ukiondoa miradi ya ujenzi wa wizara miradi iliyobaki karibu yote ipo mza tena mingine ni mikubwa kuliko ya Dom.
Soko la mwanza litakuwa kubwa karibu mara 3 ya soko la Ndugai.
Ukiacha hilo mwanza ina masoko mengine makubwa kama soko la samaki kirumba, kirumba pia kutajengwa soko jingine, mkuyuni kutakuwa na soko pia, buzuruga ilipo stendi ya mabasi kutajengwa buzuruga complex.
Mwanza ina stendi 2 za mabasi.
Barabara naona serikali imeanza kuona aibu, city centre to usagara upembuzi tayari hii itakuwa 25km dual carriageway.
City Centre kisesa upembuzi unaendelea almost 20+km njia 4.
Barabara ndogondogo zinajengwa nyingi tu.
Airport, serikali inataka kujenga jengo kubwa sawa na terminal 2 ya Dar hapa mwanza.
SGR inakuja mwanza pia, jengo la stesheni ya mwanza linaweza kuwa kubwa na zuri kwa sababu ya location.
Kwa hoteli Dom bado sana.
Karibu kila chuo Tz kimeshika eneo kubwa mza,
Kwa Leo inatosha
Kujifariji ni jambo zuri 😂😂.

Unazungumzia barabara kweli kwa Dodoma huna aibu? Kuna barabara gani hapo Mwanza Kwa uzuri na idadi hadi zishinde Dom?

Dom inajengwa 50km dual carriage way kila upande yaani Iringa Road, Morogoro Roada,Mwanza Road na Arusha Road..

Eti unazungumzia masoko,yaani soko la Machinga under construction in Dodoma hakuna mfano hapa Tanzania na ni role model wengine wote mnakuja kujifunza hapo..

Sasa Ukiacha Airport ya Dar kuna Airport gani nyingine itaifikia Msalato Airport ya Dom?..

Dom is only second to Dar , mengine hayo ni kujifariji.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220726-232227.png
    Screenshot_20220726-232227.png
    149.4 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220726-154436.png
    Screenshot_20220726-154436.png
    155.6 KB · Views: 23
  • image_downloader_1658863761456.jpg
    image_downloader_1658863761456.jpg
    34.4 KB · Views: 24
  • image_downloader_1658863732956.jpg
    image_downloader_1658863732956.jpg
    46.8 KB · Views: 21
Mtakuwa mnatoka huko mashambani kwenu kuja kushangaa mnara Dodoma👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220725-132336.png
    Screenshot_20220725-132336.png
    170 KB · Views: 20
Taarifa zinachoma hadi kwenye Moyo 🤣🤣..

Kwamba Kwa nini Dodoma tuu na sio Mwanza? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220724-195244.png
    Screenshot_20220724-195244.png
    111.7 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220724-194745.png
    Screenshot_20220724-194745.png
    142.6 KB · Views: 22
Taarifa zinachoma hadi kwenye Moyo 🤣🤣..

Kwamba Kwa nini Dodoma tuu na sio Mwanza? 👇
Nani alikwambia mkoa kuwa na chuo kikuu au kuwa makao makuu ndo kinaufanya kuwa jiji bora.Kama ni hivyo Morogoro na iringa yangekuwa majiji kabla ya Mwanza kwasababu Mwanza hakuna chuo kikuu cha serikali lakini ndo jiji pinzania kwa Dar.Pili kumbuka south africa Pretoria ndo makao makuu lakini haisogezi pua kwa cape town,durban wala johanesburg.Ukweli ni kwamba hata serikali ifanye nini Dodoma itabaki Dodoma na MWANZA itabaki kuwa Mwanza kutokana na factors zilizofanya kuwa jiji na wakuishusha Mwanza bado hajazaliwa hata serikali wakiamua kuitelekeza watu wake wataiendeleza kama miaka yote wanavyofanya wala hawatochoka wala hajawai kuchoka kama hauamini njoo uone mahoteli ya kitalii yanavyojengwa milimani na viwanda vinvyozidi kuongezeka.Mwanza kiwanda cha muhimu ambacho hakipo ni cement tu.
 
In addition ,mji unaokuwa kiuchumi lazima uangalie miradi inayosajiliwa kwa mwaka...kwa mujibu NBS .Mwanza ilisajili miradi 20 .. wakati Dodoma ilisajili miradi 15 , Arusha miradi 13 , Mbeya miradi 4
Screenshot_20220724-104053.jpg
 
Nani alikwambia mkoa kuwa na chuo kikuu au kuwa makao makuu ndo kinaufanya kuwa jiji bora.Kama ni hivyo Morogoro na iringa yangekuwa majiji kabla ya Mwanza kwasababu Mwanza hakuna chuo kikuu cha serikali lakini ndo jiji pinzania kwa Dar.Pili kumbuka south africa Pretoria ndo makao makuu lakini haisogezi pua kwa cape town,durban wala johanesburg.Ukweli ni kwamba hata serikali ifanye nini Dodoma itabaki Dodoma na MWANZA itabaki kuwa Mwanza kutokana na factors zilizofanya kuwa jiji na wakuishusha Mwanza bado hajazaliwa hata serikali wakiamua kuitelekeza watu wake wataiendeleza kama miaka yote wanavyofanya wala hawatochoka wala hajawai kuchoka kama hauamini njoo uone mahoteli ya kitalii yanavyojengwa milimani na viwanda vinvyozidi kuongezeka.Mwanza kiwanda cha muhimu ambacho hakipo ni cement tu.
Mtanyooka tuu kwa Dodoma ..

Shule mbalimbali za Kimataifa..Naanza na Fountain gate Academy 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220729-081956.png
    Screenshot_20220729-081956.png
    187.9 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220729-082948.png
    Screenshot_20220729-082948.png
    140.6 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220729-082527.png
    Screenshot_20220729-082527.png
    134.5 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220729-082505.png
    Screenshot_20220729-082505.png
    124.3 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220729-082516.png
    Screenshot_20220729-082516.png
    382.5 KB · Views: 18
  • mqdefault.jpg
    mqdefault.jpg
    8.8 KB · Views: 16
  • 20220729_082044.jpg
    20220729_082044.jpg
    48.1 KB · Views: 16
  • 20220729_082005.jpg
    20220729_082005.jpg
    81.3 KB · Views: 14
  • 20220729_082212.jpg
    20220729_082212.jpg
    109.7 KB · Views: 15
  • 20220729_082120.jpg
    20220729_082120.jpg
    321.3 KB · Views: 16
  • 20220729_082008.jpg
    20220729_082008.jpg
    109.7 KB · Views: 14
Feza School ,Dodoma 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220728-221434.png
    Screenshot_20220728-221434.png
    269.7 KB · Views: 15
  • images - 2022-07-27T131451.210.jpeg
    images - 2022-07-27T131451.210.jpeg
    37.4 KB · Views: 16
Ona Sukuma gang masanja na wenzake waboresha shule ya sekondari waliyosoma,Dodoma Sekondari 👇
 
Attachments

  • Wahitimu, mfadhili wabadilisha mwonekano Shule ya Sekondari Dodoma ( 360 X 640 ).mp4
    23.9 MB
Mwanza tuleteeni shule ya mfano ya Serikali kama hii hapa 👇
 
Attachments

  • images - 2022-07-27T192317.797.jpeg
    images - 2022-07-27T192317.797.jpeg
    35.2 KB · Views: 17
  • UJENZI WA SHULE YA KIFAHARI DODOMA WASUASUA, NAIBU WAZIRI AKERWA,ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WAKAN...mp4
    30 MB
Kila siku huwa nawaambia humu TZ majiji no mawili tu Dar and Mwanza others are affiliated MUNICIPALS
Majiji ni Dar na Dom,huko kwingine ni ushagoni..

Maana Halisi ya Jiji,Dom 👇
 
Attachments

  • WhatsApp-Image-2021-11-11-at-10.07.27-PM-3(2).jpeg
    WhatsApp-Image-2021-11-11-at-10.07.27-PM-3(2).jpeg
    79.3 KB · Views: 17
  • 48986231992_7f24ed4321_b(0).jpg
    48986231992_7f24ed4321_b(0).jpg
    59.9 KB · Views: 15
  • 31219345160_6047db23a4.jpg
    31219345160_6047db23a4.jpg
    17.7 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220727-074708_1.jpg
    Screenshot_20220727-074708_1.jpg
    66.1 KB · Views: 16
  • dodoma_zone__1658754004611215.jpg
    dodoma_zone__1658754004611215.jpg
    81 KB · Views: 15
  • 9TR-01-1.jpg
    9TR-01-1.jpg
    90.2 KB · Views: 16
In addition ,mji unaokuwa kiuchumi lazima uangalie miradi inayosajiliwa kwa mwaka...kwa mujibu NBS .Mwanza ilisajili miradi 20 .. wakati Dodoma ilisajili miradi 15 , Arusha miradi 13 , Mbeya miradi 4View attachment 2307178
Uko sawa lakini miradi sio tuu ya Uwekezaji wa Biashara kama hii ya NBS ila ni pamoja na miradi ya huduma za serikali..

Twende Kazi Dodoma hadi waombe poo 👇
 
Attachments

  • Ministry_of_Foreign_Affairs_Dodoma_HQ(0).jpg
    Ministry_of_Foreign_Affairs_Dodoma_HQ(0).jpg
    253.5 KB · Views: 15
  • 41626209922_a7f7a5386f_z.jpg
    41626209922_a7f7a5386f_z.jpg
    32.1 KB · Views: 15
  • ocgshouse.JPG
    ocgshouse.JPG
    132.2 KB · Views: 15
  • infinity_real_estate_dodoma_1656157430989167.jpg
    infinity_real_estate_dodoma_1656157430989167.jpg
    110.2 KB · Views: 16
  • tapatalk_1653645673001.jpg
    tapatalk_1653645673001.jpg
    152.8 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220519-224431_1.jpg
    Screenshot_20220519-224431_1.jpg
    37 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220519-224523_1.jpg
    Screenshot_20220519-224523_1.jpg
    38.3 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220604-123837_1.jpg
    Screenshot_20220604-123837_1.jpg
    27.7 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220604-123847_1.jpg
    Screenshot_20220604-123847_1.jpg
    23.8 KB · Views: 20
Back
Top Bottom