The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Rudi shule ukasome upya tofauti ya mapato ya ndani na maduhuli..Haya ni maduhuli ndo maana kagera inaipiga gap kilimanjaro japo kilimanjaro ni centre ya utalii pia Kagera kaipiga shinyanga wakati shinyanga ni centre ya madini.Haya maduhuli hayanauhalisia wowote kwenye uchumi na uwekezaji wa mkoa husik.Haya ni maduhuli tu na wengi wafanyabiashara huwa hawalipi na ndomaana mama Samia ililala juzi jinsi yanavyokusanywa.
Kama kipimo ni maduhuli Mwanza imesagwa ila kama kipimo ni uchumi (revenue kama VAT na capital investment) basi Dodoma ikapambane na mbeya au Tanga kwasababu hata Arusha iko mbaliRudi shule ukasome upya tofauti ya mapato ya ndani na maduhuli..
Mwisho ni kwamba Mwanza imesagwa na Dom vibaya mno..
Hata huko TRA,Dom imewasaga..Nyie mtambiehieni Mbeya.Kama kipimo ni maduhuli Mwanza imesagwa ila kama kipimo ni uchumi (revenue kama VAT na capital investment) basi Dodoma ikapambane na mbeya au Tanga kwasababu hata Arusha iko mbali
Sio leo labda miaka 20 ijayo haya mahoteli ya nyota tano(five star hotel) yanayozidi kujengwa Mwanza, Dodoma mtayatoa wapi???😂😂😂 cha kushangaza utalii umeanza kuamia kanda ya ziwa muda si mrefu Arusha kiutalii itakuwa kama Mwanza sasa cjui itakuwaje kama Mwanza international airport ikianza kuoperate na haya mahoteli ya five star yakifunguliwa??Hata huko TRA,Dom imewasaga..Nyie mtambiehieni Mbeya.
Hata huko TRA,Dom imewasaga..Nyie mtambiehieni Mbeya.
Acha kuota na kujifariji..Dom hoteli za nyota 5 ziko 2 zilizokamilika na 2 ziko under construction..Sio leo labda miaka 20 ijayo haya mahoteli ya nyota tano(five star hotel) yanayozidi kujengwa Mwanza, Dodoma mtayatoa wapi???😂😂😂 cha kushangaza utalii umeanza kuamia kanda ya ziwa muda si mrefu Arusha kiutalii itakuwa kama Mwanza sasa cjui itakuwaje kama Mwanza international airport ikianza kuoperate na haya mahoteli ya five star yakifunguliwa??
Usikalili hiyo unayoiona sio nsssf ni nikitu kingine Tanzania nzima hakuna.Nakuomba uje mwanza utalii ujifunze Mengi mazuri.Leo kuna Nandy na festival yake hAcha kuota na kujifariji..Dom hoteli za nyota 5 ziko 2 zilizokamilika na 2 ziko under construction..
Huko Mwanza ziko wapi zaidi ya hiyonya nssf hapo?
Utalii hauwezi kuhama hata siku moja Mzee hapa unajifariji tuu.
Sina kitu cha kunifanya nije huko Mwanza Kwa sasa labda mkikamilisha daraja la Mwendazake.Usikalili hiyo unayoiona sio nsssf ni nikitu kingine Tanzania nzima hakuna.Nakuomba uje mwanza utalii ujifunze Mengi mazuri.Leo kuna Nandy na festival yake huku anakula upepo wa ziwa na kula samaki kwenye mahoteli ya kitalii ambayo huwezi kuyapata Dodoma huko kwenye vumbi labda mchimbe mfereji kutoka Mwanza.
Tuondolee matangazo yako ya viwanjaMtoa mada ulilouliza sio swali bali ni jibu..
Dom ilishawakalisha Mwanza kitambo sana,kuifananisha na Mwanza ni kuionea Mwanza na kudhalilisha Makao Makuu ya Nchi..
Dodoma [emoji116]
Bonasera lounge [emoji91][emoji91][emoji91]Makao Makuu ya TAG Tanzania [emoji116]
Kumbe pangekuwa pa hivyo lakini maana si pa hivyo ndugu. Hahahahaha!!!Kwa lile vumbi hapana bila bunge na udom pangebaki pa hovyo sana.
Ukiona Dodoma hamna unaruhusiwa kuleta hata mbeya,Tanga ,arusha . except dar .@sunk cost fallacy
Ukiniletea residential mansion ya mtu binasfi kama hii hapo capital city
Niite mbwa hapa .naacha na kuchangia mada kwenye huu Uzi.
[emoji116]View attachment 2324890View attachment 2324891