mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
Yaani hapa ni magari ya kwenda Mara,simiyu,na kidogo geita .... tayari stendi ishajaa magari...Haiwezi kuwa habari mbaya kuzidi hii.... Dodoma waliokuwa wanashika nafasi ya pili Kwa terminal nzuri ...sasa hvi wamepisha wenye nafasi zao..
Bado ya nyegezi [emoji95][emoji95][emoji95][emoji116][emoji116]this is devastating blow to Dodoma and other regions View attachment 2325718View attachment 2325719View attachment 2325720View attachment 2325721
Kiwanja Cha Morocco kiliishiwa wap....paper project are nosense untill on the ground[emoji1][emoji1] Hakuna mtu anahabari na Mwanza slum dwellers..
Egypt Kujenga Viwanja Dom, Arusha na Dar.
Ukiona sehemu yeyote walipoitaja Mwanza unitag [emoji116]
Watu hawali stand,Stand haiwezi kuleta pesa ndefu kama viwnda..Ukisikia wiki mbaya kwa haters wa yanga ,mashabiki wa man u ,na haters wa mwanza..ni hii .....,,,View attachment 2325740View attachment 2325741View attachment 2325742
Siku Dodoma ikifika hapa kama Mwanza ndo nitarudi kukomenti kwa hii thread.Watu hawali stand,Stand haiwezi kuleta pesa ndefu kama viwnda..
Soma hiyoo π
Endelea kuonyesha uswazi ambao hausaidii Mwanza na watu wake kwa chochote zaidi ya kuwaongezea umaskini..Siku Dodoma ikifika hapa kama Mwanza ndo nitarudi kukomenti kwa hii thread.
Fiken hapa kwanza ndo story ziendeleeEndelea kuonyesha uswazi ambao hausaidii Mwanza na watu wake kwa chochote zaidi ya kuwaongezea umaskini..
Soma haya maelezo harafu fungua video ndio utajua Dom sio level yenu mnajisumbua tuu hapa [emoji116]
Kwa Mwanza hii utaongea sana mpaka utapike ulimiπππhiki nikitu kingineEndelea kuonyesha uswazi ambao hausaidii Mwanza na watu wake kwa chochote zaidi ya kuwaongezea umaskini..
Soma haya maelezo harafu fungua video ndio utajua Dom sio level yenu mnajisumbua tuu hapa π
Porojo za kujifariji baada ya Dodoma kuwashika makende..dodoma ni crap ndiomaana kila uchao viongozi wenu wako dar wanasafishwa miguu na kufanyiwa scrub