Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wengi uwa wanaikosea sana heshima Shinyanga mjini kuilinganisha na Kahama mjini.Shinyanga ni mji mkubwa sana,Mitaa tu yapembezoni mwa mji kamwe uwezi linganisha ata na ya Kahama kati.Wengi wamezoea wakipita Barabara kuu ya Shy-Mwz,Shy-Tbr wanajua ndio mji ulipo hapo.Kahama ni mji mdogo uliosongamana eneo moja,wakati Shy mjini umetanuka mji unapumua uwezi linganisha Kahama ya mwendakulima-mjini kati-Manzese na Shy ya Mjini kati,lubaga mpaka bushushu.Shinyanga linganisha na Tabora au Iringa
 
Ile nyerere square ukiachana na ule ukuta kuna nini cha maana?

Kuhusu mabus,
Naona umetaja tu yutong F12+ zilizopunguzwa idadi ya viti na kujazwa runinga!!

Ambazo hizo zoote ni upuuzi tu hata kwa ile marcopolo G6 ya zuberi, inayofanya safari zake mwanza -dar!

Huyo huyo zuberi anayo MERCEDES-BENZ NEO BUS & SCANIA MARCOPOLO G7.. (hizi siyo level za ma'bus uliyotaja )

hapo sijakuwekea KUREED HUNTERS Irizar PB
ambazo ni bus zenye muonekano mzuri kuliko zote Tanzania (kwa sasa wamezihamishia dodoma[emoji22][emoji22])

Mihanyenyi!!!!!
 
dar ilipitishwa operation wakapungua ila kwa dodoma naona omba omba ni legal business
NI jiji la pesa na matajiri kwa Sasa,so hao lazma wawepo si wanaona wakiingia mtaani wanazikusanya za kutosha!!,ukifika Nairobi au machakosi ombaomba wapo pia kibao,halafu omba omba wa Nairobi ni watata balaa,wanaombaga kwa ubabe utazani zao!! Ukimpa salafu anakuchek na hadhi yako anaweza kukutusi kabisa!!
 
Mlima wa mizeituni
 
Ni kweli mkuu, naona katembezewa moto katokomea ajarudi tena kutetea hoja yake zaidi ya kuingia mitini.
 
Kuondoa utata kwa kuzingatia nature ya miji yote miwili tuanze na above kumi mpaka 16 naamini hamna jengo refu zaidi ya flow hizo kwa miji yote miwili.
 
Kuondoa utata kwa kuzingatia nature ya miji yote miwili tuanze na above kumi mpaka 16 naamini hamna jengo refu zaidi ya flow hizo kwa miji yote miwili.
Sawa mkuu! Hayo niliyotaja yanaweza kuwa kwenye hilo kundi au pungufu kidogo!

Sasa ongezea mengine yenye urefu huo au zaidi ili tulinganishe na mwanza..
 
Mwanza itabaki kua juu siku zote, hakuna mji ulio mwambao wa maji ukawa ni wa kifala, Ddm itajengwa lakini Mwanza siyo kwamba itakua imesimama la hasha, itakua inaendelea pia na ilisha jengwa toka zamani pia
Kulingana na imani yako juu ya miji yote inayokuwa mwambao wa maji hailinganishwi na miji ya in land vipi kuhusu Lindi nayo tusemeje?

Ni kwambie huko kote ni kutapatapa tu kifupi Mwanza itapitwa tu kama ilivyopitwa Tanga msipokuwa makini historia inaweza ikaandikwa tena na Dodoma before 2035
 
Wewe utakua ni mtoto mtoto hivi
Unaweza kuwa jitu zima lakini litoto vilevile, kinachofanya uwe mtu mzima siyo umri tu bali pia unavyojitofautisha kwa kufikiri na kutenda. Sasa badala ulete hoja ya kuitetea Mwanza unavyoikubali tukuelewe umesharukia yasiyohusiana na mada jadiliwa.
 
dar ilipitishwa operation wakapungua ila kwa dodoma naona omba omba ni legal business
Ni suala la muda tu kwani machinga waliondoka vipi mijini hata hao nao watafyata time yao ikiwadia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…