Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Mwanza ni too overrated, nadhani ni moja ya Mahali Kuna nyumba za ovyo nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi uwa wanaikosea sana heshima Shinyanga mjini kuilinganisha na Kahama mjini.Shinyanga ni mji mkubwa sana,Mitaa tu yapembezoni mwa mji kamwe uwezi linganisha ata na ya Kahama kati.Wengi wamezoea wakipita Barabara kuu ya Shy-Mwz,Shy-Tbr wanajua ndio mji ulipo hapo.Kahama ni mji mdogo uliosongamana eneo moja,wakati Shy mjini umetanuka mji unapumua uwezi linganisha Kahama ya mwendakulima-mjini kati-Manzese na Shy ya Mjini kati,lubaga mpaka bushushu.Shinyanga linganisha na Tabora au IringaHuyu jamaa kakurupuka nilikuwa namrudisha tu relini asiichukulie poa Shinyanga kuilinganisha na Kahama, siku zote miji midogo yakibiashara kama Kahama mara nyingi uchangamka sana mjini na huwa na movement kubwa senta kiasi kwamba usipokuwa makini waweza dhani ni miji mikubwa ila ukichepuka kidogo tu pembeni unakumbana na vichaka vya nyasaka, bulyang'hulu na kagongwa-kahama kimoja.
Ile nyerere square ukiachana na ule ukuta kuna nini cha maana?Mkiambiwa msafiri hamtaki kutwa mko humu kujifanya wapingaji, sasa kwa akili yako unadhani nchi hii kuna gardens nzuri za mjini kama chinangali na nyerere square?
Hivi umeshawahi safiri na baadhi ya mabasi haya; Kimbinyiko, Shabiby, ABC n.k hivi unadhani usipoenda Dom mshikaji wangu hizi luxury utazijulia wapi?
NI jiji la pesa na matajiri kwa Sasa,so hao lazma wawepo si wanaona wakiingia mtaani wanazikusanya za kutosha!!,ukifika Nairobi au machakosi ombaomba wapo pia kibao,halafu omba omba wa Nairobi ni watata balaa,wanaombaga kwa ubabe utazani zao!! Ukimpa salafu anakuchek na hadhi yako anaweza kukutusi kabisa!!dar ilipitishwa operation wakapungua ila kwa dodoma naona omba omba ni legal business
Naona kwenye inshu ya bustani ya umma umeponda lakini ujaleta mbadala, anyway thamani ya bustani ni pamoja na mahali inapopatikana (mandhari/kuwa city centre),pia inavyotumiwa au inahandle watu wangapi kwa siku, ina viti, miti, nyasi, mapambo, tiles,kuta/uzio, usafi, usalama, amenities zingine kama displays,mgahawa n.k ambavyo vyote nyerere square aina mpinzani wake.
Kuhusu mabasi sikupingi kulingana na mifano michache ya mabasi niliyotolea mfano kwenye uzi dizaini umekuja na utafiti wako wa mabasi kuprove kuwa siyo zaidi kuna wababe wengine wa ruti,
kwa hapo nakubaliana nawe kwa sababu Tz ndo nyumbani kwao mabasi mazuri yote ukanda huu hivyo record kila siku zinavunjwa ila pia nimependa kipengele chako cha mwisho baada ya kukubali kuwa basi la kureed Hunters baada ya kuona mwanza mambo hayaendi wameamia Dom ilipo pesa.
Ni kweli mkuu, naona katembezewa moto katokomea ajarudi tena kutetea hoja yake zaidi ya kuingia mitini.Wengi uwa wanaikosea sana heshima Shinyanga mjini kuilinganisha na Kahama mjini.Shinyanga ni mji mkubwa sana,Mitaa tu yapembezoni mwa mji kamwe uwezi linganisha ata na ya Kahama kati.Wengi wamezoea wakipita Barabara kuu ya Shy-Mwz,Shy-Tbr wanajua ndio mji ulipo hapo.Kahama ni mji mdogo uliosongamana eneo moja,wakati Shy mjini umetanuka mji unapumua uwezi linganisha Kahama ya mwendakulima-mjini kati-Manzese na Shy ya Mjini kati,lubaga mpaka bushushu.Shinyanga linganisha na Tabora au Iringa
Kuondoa utata kwa kuzingatia nature ya miji yote miwili tuanze na above kumi mpaka 16 naamini hamna jengo refu zaidi ya flow hizo kwa miji yote miwili.Majengo marefu ni kuanzia ghorofa ngapi mkuu?
-Ukaguzi house!
-NHIF!
-Kambarage!
-jengo la hotel mpya karibu na makao makuu ya chama!
Ukiachana na hayo Majengo ma 4 niliyoyataja hapo juu, hebu taja mengine marefu yaliyofanya dodoma iipiku mwanza...
Sawa mkuu! Hayo niliyotaja yanaweza kuwa kwenye hilo kundi au pungufu kidogo!Kuondoa utata kwa kuzingatia nature ya miji yote miwili tuanze na above kumi mpaka 16 naamini hamna jengo refu zaidi ya flow hizo kwa miji yote miwili.
Kulingana na imani yako juu ya miji yote inayokuwa mwambao wa maji hailinganishwi na miji ya in land vipi kuhusu Lindi nayo tusemeje?Mwanza itabaki kua juu siku zote, hakuna mji ulio mwambao wa maji ukawa ni wa kifala, Ddm itajengwa lakini Mwanza siyo kwamba itakua imesimama la hasha, itakua inaendelea pia na ilisha jengwa toka zamani pia
Unaweza kuwa jitu zima lakini litoto vilevile, kinachofanya uwe mtu mzima siyo umri tu bali pia unavyojitofautisha kwa kufikiri na kutenda. Sasa badala ulete hoja ya kuitetea Mwanza unavyoikubali tukuelewe umesharukia yasiyohusiana na mada jadiliwa.Wewe utakua ni mtoto mtoto hivi
Ni suala la muda tu kwani machinga waliondoka vipi mijini hata hao nao watafyata time yao ikiwadiadar ilipitishwa operation wakapungua ila kwa dodoma naona omba omba ni legal business
Hahahaaaa! Naona una utani na watu wa Mwanza.Jikazeni hasa kwenye Kasi ya kufyatua watoto huenda mkaendelea kuwa second City in terms of number of people [emoji23][emoji23]