Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

[emoji445][emoji445][emoji443][emoji443]Kizz Daniel ft tekno .BUGA [emoji344][emoji344][emoji344][emoji443][emoji444][emoji444][emoji444]...mwanza now[emoji867][emoji8]
 
Kizz Daniel ft tekno .BUGA ...mwanza now View attachment 2390381View attachment 2390382
Hv hii meli na Mv
[emoji445][emoji445][emoji443][emoji443]Kizz Daniel ft tekno .BUGA [emoji344][emoji344][emoji344][emoji443][emoji444][emoji444][emoji444]...mwanza now[emoji867][emoji8]View attachment 2390381View attachment 2390382
Hii meli itakuwa ya kitalii ina ukumbi wa kuchukua watu 400 so watu wanaweza kufunga ndoa kwny meliπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Wakati Mwanza mnashangilia stand,Dom inashangilia huduma Bora kabisa za afya hapa Benjamin Mkapa Hospital πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221018-122931.png
    261.8 KB · Views: 11
Chuo chenye hadhi ya Makao Makuu ya Nchi,UDOM πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_7977.jpg
    44.8 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221018-123002.png
    255.2 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221018-122958.png
    255.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221018-122945.png
    257.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221018-122941.png
    242.7 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221018-122936.png
    274.4 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221018-122854.png
    264.2 KB · Views: 15
Ukitoa muhimbili kuna hospitali gani hapa Tanzania inaweza ikaribia Hospital ya bugando kwa kutoa huduma mbalimbali za kibingwa na kibobezi.
*Bado mnasafari
Bugando inajenga cardiac institute
Benjamin Mkapa Hospital ambayo inafanya hadi oparesheni za moyo,nk

Bugando hakuna.
 
Mnachiahindwa kuelewa ni kwamba Dodoma kwa kiwango kikubwa inajengwa na serikali tofauti na mwanza .Mwanza inajengwa na wananchi wake na wafanya biashara chagua mkoa kati ya dodoma na mwanza ni wapi unaweza kutoboa kibiashara kilimo uone utaenda wapi mkoa wa dodoma chanzo cha mapato sijui ni zabibu hata siielewi kabisaa
 
Ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…