Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kuikalia Mwanza kooni sio leo.Kama Arusha wamepiga kelele kama hizo miaka yote ila wamezima kama mshumaa na nyie mmekuja tunawasikiliza tu mnavyobweka.Kama ni utalii Mwanza ndo west curcit center na serngeti national park gate la Ndabaka linatumiwa na Mwanza.Zaidi kama unaitakia mambo mabaya Mwanza omba international airport ya Mwanza isikamilike.
Lakini kuna figisu zilishaanza dhidi ya ujenzi wa jengo la abiria, yapata miezi zaidi ya kumi jengo limesimamishwa na serikali kwasaabu zisizo na mashiko.
 
Lazima litakamilika tu kwasababu uwanja umeisha pandishwa hadhi kuwa international kinachopungua jengo la abiria nalo liko asilimia 90 ni marekebisho machache yanafanyika na pesa zipo.
 
Lakini kuna figisu zilishaanza dhidi ya ujenzi wa jengo la abiria, yapata miezi zaidi ya kumi jengo limesimamishwa na serikali kwasaabu zisizo na mashiko.
Hata kama uwanja utaisha huo sioni kama utakuwa na effect sana kwenye utalii wa kuifaidisha mwanza, kumbuka kuwa KIA kama kawaida itaendelea kupokea watalii toka abroad na kuna mpango wa ujenzi wa kiwanja cha kimataifa cha Serengeti katika mji wa Mugumu (SIA) wilayani Serengeti na plan zinaendelea, lakini pia uwanja wa ndege wa Musoma unaojengwa upo mbioni kuisha hivyo nadhani ushaiona hiyo triangle yakibiashara kati ya mikoa inayohusika moja kwa moja kijiografia na utalii. Labda mtegemee utalii wa ndani wa Kisiwa cha sanane, rubondo na bukumbi huko ndo size yenu.
 
Faida ya bandari ya kigoma au reli kwenda kigoma nazani itakuwa ni kusafirisha mawese na wakimbizi kutoka burundi.
Kwa kuwa umesema nazani basi ngoja nikuache hivyo hivyo udhani lakini kama ungeweza kufikiria japo kidogo ungegundua kuwa kuna soko kubwa toka nchi moja strategic nyuma ya lake Tanganyika ukiachilia mbali hiyo Burundi unayoikazania hapa.
 
Kwahiyo unataka kulenga sehemu ndogo ya DRC na mizigo mingi ya Congo inatokea bandari ya Brazaville, na sehemu nyingine ya Africa, umuhimu wa bandari na reli ya sgr ya Mwanza itaongeza njia ya usafirishaji wa nchi kama Uganda, kenya, Rwanda na south Sudan. Tumia akili chuki dhidi ya Mwanza hakusaidii kwa chochote na ata mkileta chuki za kijinga zisizokuwa na uzalendo ndio unazani Mwanza itashuka kiuchumi? Wait the time will tell.
 
Kuikalia Mwanza kooni sio leo.Kama Arusha wamepiga kelele kama hizo miaka yote ila wamezima kama mshumaa na nyie mmekuja tunawasikiliza tu mnavyobweka.Kama ni utalii Mwanza ndo west curcit center na serngeti national park gate la Ndabaka linatumiwa na Mwanza.Zaidi kama unaitakia mambo mabaya Mwanza omba international airport ya Mwanza isikamilike.
Hapa unajifariji tuu, tuambie wewe Mwanza ina kitu gani cha kuizidi Arusha au Dom? 👇

1643456511815.png
 
Faida ya bandari ya kigoma au reli kwenda kigoma nazani itakuwa ni kusafirisha mawese na wakimbizi kutoka burundi.
Mizigo ya Congo,Mwanza huko reli itabeba nini cha maana? Hivi kwa akili zenu mnakaa kabisa mnawaza kwamba reli itabadili maisha yenu huko?

Kama tuu reli ya Tazara iko kwenye corridor muhimu kabisa ya uchumi hapa Tzn lakini haina significant impacts kwenye uchumi wa Mikoa ilikopita abuse sgr inayopita huko kusiko hata na cargo?

Narudia kusema sgr itakuwa na maana ikifika Karema/Mpanda na Musomgati kwenda Burundi ,Rwanda na North DRC.
 
Congo inategemea mzigo kutoka kigoma toka lini? Rudi tena shule kaangalie ata ramani ya Congo kidogo then uje ufute huu ujinga!
 
Wewe unajua nini zaidi ya kupiga kelele??Nikusahidie tu hiyo dry port ya fela ni special kwa ajili ya Uganda,South Sudan,Kenya na Burundi na biashara zao zinafanyika na kupitia Mwanza kwenda mikoa na nchi zingine mingine.Mfano Kenya na Uganda walipofungia mipaka mizigo yote ya Rwanda kutoka kenya inapitia Mwanza ndo Maana daraja la busisi linajengwa,meli mizigo(ship wagon ) mv umoja inafanyiwa ukarabati na nyingine mbili mpya zinajengwa na Mama Samia kaisha saini mikataba yote kazi inaendelea.Kitu kingine ni kwamba mizigo mingi ya congo kaskazini mashariki inayopitia Uganda inapitia Mwanza pia kma magogo na Mwanza ndo centre ya biashara ya magogo kutoka Congo(mbao za mkongo).Mkoloni hakujenga reli to Mwanza kimakosa.
Uganda aache kutumia short route ya Mombasa ambayo ataiunga na sgr aje kusubiria ferry ziwani huko ? 😁😁.

The same applies to South Sudan,hicho ki dry port ni white elephant labda njia ya Mombasa izidiwe.

Pia siku Sgr ya kutoka Tanga Moshi Arusha hadi Musoma ikikamilika nani atapitisha mizigo huko Mwanza?
 
Mizigo ya Congo,Mwanza huko reli itabeba nini cha maana? Hivi kwa akili zenu mnakaa kabisa mnawaza kwamba reli itabadili maisha yenu huko?

Kama tuu reli ya Tazara iko kwenye corridor muhimu kabisa ya uchumi hapa Tzn lakini haina significant impacts kwenye uchumi wa Mikoa ilikopita abuse sgr inayopita huko kusiko hata na cargo?

Narudia kusema sgr itakuwa na maana ikifika Karema/Mpanda na Musomgati kwenda Burundi ,Rwanda na North DRC.
Chuki dhidi ya Mwanza haitakusaidia chochote
 
Umekosa sababu za msingi unapost kila mara huu utopolo nakuuliza tena je mapato ya halmashauri ndo kipimo cha uchumi mkubwa kwa eneo husika, au kipimo na ukuaji wa mji unaangalia mapato ya halmashauri?
Lazima useme utopolo kwa sababu napiga kwenye mshono 😀😀
 
Uganda aache kutumia short route ya Mombasa ambayo ataiunga na sgr aje kusubiria ferry ziwani huko ? 😁😁.

The same applies to South Sudan,hicho ki dry port ni white elephant labda njia ya Mombasa izidiwe.

Pia siku Sgr ya kutoka Tanga Moshi Arusha hadi Musoma ikikamilika nani atapitisha mizigo huko Mwanza?
Uganda na Mwanza huwa wanafanya biashara tena sana ata mwezi Dec mafuta kiasi gani yamesafirishwa kwenda Uganda kupitia bandari ya Mwanza.
 
Nasema hivi hiyo ni route mbadala Mombasa ikizidiwa,mwezi disemba ni mwezi wa biashara kwa hiyo utakuwa unajenga dry port kusubiria mwezi disemba tuu? Huu si ni Wehu sasa 😁😁
 
Hiyo reli ya Tazara huko nyanda za juu kusini mmefaidika na nini? Na hiyo kigoma inapata nini kwenye hiyo reli ya kati?
Hatujafaidika nayo ndio maana nakwambia na wewe kwamba reli hazitaongeza Chochote significant kwenye uchumi wa Mwanza.

Zaidi utaisaidia viwanda vya Dar kufikisha bidhaa sokoni hapo Mwanza so will be the one way trade.
 
Nasema hivi hiyo ni route mbadala Mombasa ikizidiwa,mwezi disemba ni mwezi wa biashara kwa hiyo utakuwa unajenga dry port kusubiria mwezi disemba tuu? Huu si ni Wehu sasa 😁😁
Huo ni mfano mmoja wapo, punguza mihemko na chuki aliyekuzidi amekuzidi tu huwezi kurudisha muda nyuma.
 
Back
Top Bottom