Wewe unajua nini zaidi ya kupiga kelele??Nikusahidie tu hiyo dry port ya fela ni special kwa ajili ya Uganda,South Sudan,Kenya na Burundi na biashara zao zinafanyika na kupitia Mwanza kwenda mikoa na nchi zingine mingine.Mfano Kenya na Uganda walipofungia mipaka mizigo yote ya Rwanda kutoka kenya inapitia Mwanza ndo Maana daraja la busisi linajengwa,meli mizigo(ship wagon ) mv umoja inafanyiwa ukarabati na nyingine mbili mpya zinajengwa na Mama Samia kaisha saini mikataba yote kazi inaendelea.Kitu kingine ni kwamba mizigo mingi ya congo kaskazini mashariki inayopitia Uganda inapitia Mwanza pia kma magogo na Mwanza ndo centre ya biashara ya magogo kutoka Congo(mbao za mkongo).Mkoloni hakujenga reli to Mwanza kimakosa.