Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Beautiful landscape city .true meaning of the rock city πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
View attachment 2750716
kama kawaidayako huwa unachagua unapost picha za nyumba moja moja sio mtaa mzima πŸ˜…πŸ˜…...Nasubiri siku ukileta picha za drone zikionesha mtaa mzima uliopangiliwa vizuri kama Iyumbu Satellite City Dom.
By the way,the true meaning of rock city is πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜…πŸ˜…....Mwanza is full of slums,squatters,vichochoro,giza,kwa ujumla mipango miji ni F kabisa
 
Attachments

  • 6e7a751be688514cd37ec6c440a37834.png
    6e7a751be688514cd37ec6c440a37834.png
    137.6 KB · Views: 5
  • 0fab45cd77d5f6243b415e0cf7775b92.png
    0fab45cd77d5f6243b415e0cf7775b92.png
    136.3 KB · Views: 5
kama kawaidayako huwa unachagua unapost picha za nyumba moja moja sio mtaa mzima πŸ˜…πŸ˜…...Nasubiri siku ukileta picha za drone zikionesha mtaa mzima uliopangiliwa vizuri kama Iyumbu Satellite City Dom.
By the way,the true meaning of rock city is πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜…πŸ˜…....Mwanza is full of slums,squatters,vichochoro,giza,kwa ujumla mipango miji ni F kabisa
Akikuletea mtaa kama huu ni tag 😁
 
Jifunze kupost picha, alafu hizo picha huwa mnazirudia rudia sana toka mwaka 1997, ni hizo hizo picha za kasehemu ka igogo, kwenye mazuri mengi ya mwanza unaanza unachambia kasehemu kadogo kakuleta humu by the way hiyo pia ni uniqueness ya jiji la Mwanza ni sehemu ya utalii au we huoni ni jambo la kustahajbisha watu kujenga kwenye rocks, je unajua gharama za kujenga kwenye rocks?
 
Hajui chochote huyo
 
Mbona unakimbilia NHC za mitaani kwenu mbona hupost 🀣🀣..nyie ndo mnaosema dodoma imepangwa 🀣🀣🀣 angalia squatter zilivyojaa mavumbi..hii ni miyuji , mbwanga na msalato Kwa mbali 😁😁😁
IMG_20230812_145135_428.jpg
IMG_20230812_145158_652.jpg
 
Michese doma desert... sipati picha upepo na vumbi la hapo ....hata wana waisraeli jangwani hawakupita kwenye mazingira makame kama hayo miaka 40 ...look here greenish and lake breezeView attachment 2751409
Hutoona mtu hapa watakuja na excuses kibao hii umewapiga, na bado kule bwiru, isamilo, nyasakaa, mwananchi n.k Mwanza ni dude kubwa infinity.
 
Ume
Mbona unakimbilia NHC za mitaani kwenu mbona hupost 🀣🀣..nyie ndo mnaosema dodoma imepangwa 🀣🀣🀣 angalia squatter zilivyojaa mavumbi..hii ni miyuji , mbwanga na msalato Kwa mbali 😁😁😁View attachment 2751417View attachment 2751414
Umeniquote vibaya sio mimiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mimi siwezi kushabikia jiji la kindezi lililopauka kama vumbi la congo.
 
Akikuletea mtaa kama huu ni tag 😁
View attachment 2750851
Hajawahi na hawezi ndiomana sikuzote anapost makazi ya mtu mmoja mmoja sio mtaa mzima.Hivi Dom nao wakiamua wapost kwamfano makazi ya Waziri Mkuu,Makamu wa Rais,Spika au nyumba za watumishi kule Area D na Area E(mitaa imepangiliwa kama Ulaya vile) ....Mwanza hawatanusa hata roboπŸ˜…πŸ˜…
 
Mbona unakimbilia NHC za mitaani kwenu mbona hupost 🀣🀣..nyie ndo mnaosema dodoma imepangwa 🀣🀣🀣 angalia squatter zilivyojaa mavumbi..hii ni miyuji , mbwanga na msalato Kwa mbali 😁😁😁View attachment 2751417View attachment 2751414
Unaelewa maana ya neno squatter au umekurupuka kucopy post yangu wakati huelewi maanayakeπŸ˜…πŸ˜….
Kwa kukusaidia tu πŸ‘‡
squatter is a person who unlawfully occupies an uninhabited building or unused land.
Dodoma hakuna squatters wala makazi holela manake Jiji lote(zaidi ya asilimia 95) limepimwa huwezi kukuta uvamizi wa viwanja manake vyote vinamilikiwa.
Ukija kwa Mwanza sasa ni full uswazi,mitaa haijapangiliwa .Zamani walikua wanasema Igoma ndio poshy area ya Mwanza wakiita mtaa wa watu wazito nilipofika nilichoka 🀣🀣
 
Hajawahi na hawezi ndiomana sikuzote anapost makazi ya mtu mmoja mmoja sio mtaa mzima.Hivi Dom nao wakiamua wapost kwamfano makazi ya Waziri Mkuu,Makamu wa Rais,Spika au nyumba za watumishi kule Area D na Area E(mitaa imepangiliwa kama Ulaya vile) ....Mwanza hawatanusa hata roboπŸ˜…πŸ˜…
Acha maneno kama mwimba taharabu leta picha za hayo makazi nami nilete za mitaa full image bila mbamba mbamba.
 
Unaelewa maana ya neno squatter au umekurupuka kucopy post yangu wakati huelewi maanayakeπŸ˜…πŸ˜….
Kwa kukusaidia tu πŸ‘‡
squatter is a person who unlawfully occupies an uninhabited building or unused land.
Dodoma hakuna squatters wala makazi holela manake Jiji lote(zaidi ya asilimia 95) limepimwa huwezi kukuta uvamizi wa viwanja manake vyote vinamilikiwa.
Ukija kwa Mwanza sasa ni full uswazi,mitaa haijapangiliwa .Zamani walikua wanasema Igoma ndio poshy area ya Mwanza wakiita mtaa wa watu wazito nilipofika nilichoka 🀣🀣
Kulingana na sensa dodoma ulikuwa ni mji wa mwisho kuwa na postkodi, kupimwa, kuna mji umepimwa kama Ilemela, punguza maneno kama mchungaji.
 
taharabu ndio nini ....kumbe nabishana na MEMKWA rudi shuleπŸ˜€πŸ˜€
 
Tujikumbushe Mwanza ya Mwaka 1902 kipindi cha mjerumani, wakati huo dodoma ikijulikana kama kijiji cha mpwayungu.πŸ‘‡
IMG-20230902-WA0056.jpg
 
Unaelewa maana ya neno squatter au umekurupuka kucopy post yangu wakati huelewi maanayake[emoji28][emoji28].
Kwa kukusaidia tu [emoji116]
squatter is a person who unlawfully occupies an uninhabited building or unused land.
Dodoma hakuna squatters wala makazi holela manake Jiji lote(zaidi ya asilimia 95) limepimwa huwezi kukuta uvamizi wa viwanja manake vyote vinamilikiwa.
Ukija kwa Mwanza sasa ni full uswazi,mitaa haijapangiliwa .Zamani walikua wanasema Igoma ndio poshy area ya Mwanza wakiita mtaa wa watu wazito nilipofika nilichoka [emoji1787][emoji1787]
Huoni picha nilizokutumia au ..hapo Kuna mpangilio gan
 
Waliokusimulia walikudanganya .....fika ujionee[emoji116]
20220916_165529.jpg
JamiiForums-1159811569_1.jpg
IMG-20221106-WA0012.jpg
IMG-20221105-WA0010.jpg
IMG-20221105-WA0004.jpg
 
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after DSM wakati DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD

Hivyo kwa heshima ya Dodoma mpya na ya kisasa ambayo kwa mtizamo wangu binafsi inaichapa Mwanza 3-0 kwenye ukubwa wa City Center (CBD)

Kuanzia majengo mengi ya ghorofa, ukisasa, mpangilio, bustani na round about nzuri, purchasing power (vitu bei ni juu na watu wana-afford) ndiyo maana mabasi makali na ghali mengi uanzia safari zake hapa kuelekea Dar nasiyo vinginevyo.

Kingine Dodoma CBD bado inakuwa kila sekunde mijengo inazidi chepushwa tena project za maana, ila Mwanza CBD haina jipya sana zaidi ya soko linalojengwa pale hamna kingine chakutarajia kwa sasa, kinachoiangusha Dodoma CBD ni ubaya wa soko lake kuu la majengo(ombi langu kwa mamlaka husika walifanyie mpango wa maboresho linafubaza jiji) ila kwingine huko kote ni fire.

CBD ya Dodoma inaichapa mwanza upande wa barabara za lami, private cars na magari ya kifahari,mandhari ya kimjini mjini kama ni mgeni ukiwa mazengo ukajichanganya majengo huko kwa kina vunja bei bila kusahau uhindini n.k wawezadhani uko kariakoo ndogo, Dodoma CBD ina city vibes ukilinganisha na mwanza CBD.

MADHAIFU:
I. Ukarimu na kauli za kibiashara(customer care) ni "F"

II. Usafi ni "F'' mifereji inanuka vinyesi plus taka zinatupwa tu ovyo na hakuna hatua yeyote inachukuliwa mara mia na halmashauri ya manispaa ya Singida.

III. Upande wa Mahoteli na viwanja nawapa "D" demand bado nikubwa kuliko kilichopo, ukiiondoa Morena ambayo nayo ni yakawaida sana bado hakuna hotel za maana.

IV. Hali ya hewa ya vumbi la kuwasha macho, ukame na unusu jangwa, hata kama umetupia nguo mpya na Kali vipi zinaappear zimefubaa nakupaukiana achilia mbali baridi kali usiku. (Tushirikiane wote kuakikisha Sera ya Dodoma ya kijani inatekelezwa kwa vitendo)

V. Shida ya MAJI hapa usishangae chumba kimoja kikilipiwa 15k na kingine kinachofanana nacho kwa kila kigezo kikilipiwa 30k kumbe kigezo ni kimoja kina maji na kingine hakina. Jamani SERIKALI timizeni majukumu yenu mruhusu jiji hili lifunguke zaidi na likuwe maana kikwazo kikuu ni hiki kabla ya vingine.

But all in all ukiondoa mapungufu hayo machache, mwanza CBD inakalishwa benchi kipindi cha kwanza cha mchezo hata kabla ya kipyenga cha mwamuzi kuamuru game lianze.

TAKE HOME
Ninachoipendea Dodoma; UZALENDO kwani karibia asilimia 95 ya majengo yote, mabango na mapambo CBD lazima neno DODOMA litaappear unlike mwanza na sehemu zingine za Tanzania hii.
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
 
Back
Top Bottom